Hahahaha ndo uhuru wa mawazo huo!Wewe ni mmojawapo wa wateja wangu wakubwa, nakushangaa unasema haya maneno!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha ndo uhuru wa mawazo huo!Wewe ni mmojawapo wa wateja wangu wakubwa, nakushangaa unasema haya maneno!
Kwa hatua hii basi ungana na wabambikiaji wenzio kusheherekea Kwa kuwa hatua ya kwanza yalengo lenu linetimia na Bado mnatunisha mifuko , huku kapu la mlipa Kodi likiendelea kupukutishwaHuu ndio ukweli hata kama hamtaki ukweli. Maana kama kuna kesi mtu anatuhumiwa nayo basi anatakiwa atoe majibu ya kisheria na kuthibitisha kuwa hizo tuhuma hazijafanyika.
Sasa habari za mayenu na kuimba mapambio na akina dada wa space ndio nini?
Muwe mnafuata ushauri acheni ubishi?
Ndiyo BashiteSawa nabii Titto
Wanataka kuwa ua mashahidiHawa akina kidando pamoja na jaji wao,wanataka majina ili waende kufanya wanavyojua wao.
Hovyo kabisa.
Wewe una akili kuliko akina KibatalaHawa akina kidando pamoja na jaji wao,wanataka majina ili waende kufanya wanavyojua wao.
Hovyo kabisa.
Wana miliki ugoro na kabati la kuutunzia tu, hawataki mambo mengiUVCCM hamjawahi kumiliki akili kichwani.
YapHayo ndiyo maelezo sahihi kabisa - kukutwa na shauri la kujibu si kukutwa na hatia! Ni kupata nafasi ya kujitetea au kuthibitisha kuwa mashitaka dhidi yako hayana ukweli. Ndiposa mwishowe huja hukumu ya kuachiwa huru au kutiwa hatiani.
Kesi itaisha na Mbowe atakuwa huruKumbuka mbowe ni kiongozi wa upinzani wa chama kikubwa.
Suala la usalama wake hakutakiwa kukurupuka ALITAKIWA awe makini sana.suala la kushirikiana na wanajeshi nilijua tu hilo lishakuwa tatizo hao sio wa kufanya nao mipango Kama hyo .
🤣🤣🤣🤣Ndiyo Bashite
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hii nchi mtu anaweza asiwe na ABC ya kitu chochote na akamuona mjinga mzoefu katika kazi fulani.Jaji: Nimepitia vielelezo vyote vya upande wa mashitaka na utetezi. BILA KWENDA NDANI, Mahakama hii inaona kwamba upo ushahidi kwamba washitakiwa wana kosa la kujibu... Kwa maana hiyo natoa AMRI.
Hapa ndipo ujinga wa jaji nimeuona
Hilo lizee ni liboya snJaji: Nimepitia vielelezo vyote vya upande wa mashitaka na utetezi. BILA KWENDA NDANI, Mahakama hii inaona kwamba upo ushahidi kwamba washitakiwa wana kosa la kujibu... Kwa maana hiyo natoa AMRI.
Hapa ndipo ujinga wa jaji nimeuona
🤣🤣🤣🤣Kesi itaisha na Mbowe atakuwa huru
Tulia🤣🤣🤣🤣
Kesi itaisha na Mbowe atakuwa huru
Naona mpo na Kingai mnapiga bia hapo counter # Sewa BarVipi, Bi Bulamba, jiwe limekupata au?[emoji28]
Wazee wa HASHTAG [emoji16][emoji16][emoji16].
Kuna wakati mpaka nawaonea huruma.