Maamuzi madogo au hukumu za kesi kama hii, lazima zielezewe vizuri kwa wananchi ili wajenge Imani na mahakama vinginevyo tutajenga kizazi kinachofikiria kuwa hata maamuzi ya mahakama ni kama kamari.
In our hearts.And where is Mandela?
Hapo sasa tupo pamoja Mr Animo.Mimi simshabikii Mbowe wala Serikali. Haki iende kwa mwenye haki. Period.
Vipi Mrembo?
Wewe pekee ndio umeona nje ya Box.Hakuna kilicho haribika. We kwa akili yako ulitaka leo leo Jaji aifute si mtasema kalazimishwa??
Comment bora ya wiki hii.Kesi ya Sabaya unaweza kuilinganisha na hii ya Mbowe? Ya Sabaya Hadi ushahidi wa Video ulisimama na mwenyewe alikiri kutumwa na Maguful.
Hii ya Mbowe Ni planned
Katiba mpya ndiyo suluhisho la unyama woote huuToka lini mahakama za kitanzania zikawa huru,huyu jaji anahukumu mfukoni tufanye mambo mengiine,wameshaamua kumfungaa,wao waseme wanamfunga miaka mingapi ,tusipotezewe muda na comedian waliojificha kwenye kimvuli cah ujaji tujadili mgao wa umeme,bei za vifaa vya ujenzi kupanda,bei za mafuta kupanda ,katiba mpya na mengneyo
Denis Urio ni mtu wa kuteseka maisha yake yooteOnly in tz ugaidi unafadhiliwa kwa sh efu87 ambayo imetumika nauli na chakula wakabaki hawana ata mia mbovu, vijana wa watu wametafutiwa kibarua cha ulinzi saivi wameitwa ugaidi na watu wasokuwa na utu Mungu wetu yu hai atasimama
Kufungwa siyo kufa mkuu yataisha hayo na ndiyo maisha ya mwana mageuziDah...nimechoka kabisaa Mungu tu sasa aingilie kati aisee vinginevyo Mbowe tunamkosaa[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Kwani samia ndio alimtuma Mbowe atafute x soldier, Mungu aangalii eti kosa ni mpinzani afanye maovu, know mungu ni mtenda haki, intention ya Mbowe haikuwa nzuri, na haya anayoyapitia inawezekana kabisa ni damu za watu zinamuhukumu, mbona mimi nisipitie wala wewe, au Mnyika, au Msigwa, mfano tuu mungu anisamehe Chacha Wangwe ile damu kuna mkono wa Mbowe ndio hizi laana zinamwandamaHakuna kitu unaweza kuficha kwa MUNGU ndiyo maana nimekwambia KWA HAKI HATAHUKUMU MATAIFA. Hata kwenye hii Kesi AMELITIZAMA WAZO LENU TOKEA MBALI NA NIA ZENU. Tumia akili ya kawaida kwanini Urio aliyemtafutia gaidi mbowe watu wa kufanya Ugaidi alafu kesi isimuhusu kuwa mshitakiwa?
Kwanini awaingize vijana wa watu ambao hawakuwa hata na wazo mfano mmoja alikuwa anajipondea kokoto alishe familia yake. Alafu wajinga wanamuona Urio Ni shujaa.
Alitakiwa baada ya kujua Nia mbaya ya Ugaidi ya mbowe wangedili na mbowe bila Urio kuwaingia wasiokuwa hata na nia mbaya.
Hii kesi ina Ushetani mwingi sana kwa wenye uwezo wa kufikiri. Kama ule Ushetani uliokuwa wa kumuua Lisu mwisho wa siku shetani kashindwa kumchunguza shetani mwezake.
Aliyekwambia Mbowe ni msafi ni nani?? Ameshiriki mara ngapi kutoa uhai wa wenzake?? Ben Saanane yuko wapi, Wangwe yuko wapi? Kwa akili yako unadhani Mbowe hakuhusika?Hakuna kitu unaweza kuficha kwa MUNGU ndiyo maana nimekwambia KWA HAKI HATAHUKUMU MATAIFA. Hata kwenye hii Kesi AMELITIZAMA WAZO LENU TOKEA MBALI NA NIA ZENU. Tumia akili ya kawaida kwanini Urio aliyemtafutia gaidi mbowe watu wa kufanya Ugaidi alafu kesi isimuhusu kuwa mshitakiwa?
Kwanini awaingize vijana wa watu ambao hawakuwa hata na wazo mfano mmoja alikuwa anajipondea kokoto alishe familia yake. Alafu wajinga wanamuona Urio Ni shujaa.
Alitakiwa baada ya kujua Nia mbaya ya Ugaidi ya mbowe wangedili na mbowe bila Urio kuwaingia wasiokuwa hata na nia mbaya.
Hii kesi ina Ushetani mwingi sana kwa wenye uwezo wa kufikiri. Kama ule Ushetani uliokuwa wa kumuua Lisu mwisho wa siku shetani kashindwa kumchunguza shetani mwezake.
Na Lisu alipigwa zile risasi kwa damu ya Nani? Kuwa huru kifikra acha kutetea ujinga usiokuwa na maana.nimeuliza wale Askari katifutiwa na Urio vipi unamuondoa Urio kwa kumtafutia mtu muovu watu wa kufanya uovu. Haya hao makomando walikuwa awajuani na mbowe wewe unamtoaje Urio kwenye Hatia. Maana kama una uwezo kwa kufikiri kesi ilikuwa ya mbowe pekee yake kwa Urio kujua Nia mbaya ya mbowe angekamatwa ashitakiwe. Mbona usapoti uchunguzi kwa swala la Lisu. Au kwa kuwa mnausika kutaka kumuuwa. Acheni Ushetani.Kwani samia ndio alimtuma Mbowe atafute x soldier, Mungu aangalii eti kosa ni mpinzani afanye maovu, know mungu ni mtenda haki, intention ya Mbowe haikuwa nzuri, na haya anayoyapitia inawezekana kabisa ni damu za watu zinamuhukumu, mbona mimi nisipitie wala wewe, au Mnyika, au Msigwa, mfano tuu mungu anisamehe Chacha Wangwe ile damu kuna mkono wa Mbowe ndio hizi laana zinamwandama
Mtieni hatiani. Mbona nyinyi mmeuwa kina alphone mawazo mchana kweupe na mkapiga Lisu risasi peupe. Mpaka zee kenu limekufa na laana za damu za watuAliyekwambia Mbowe ni msafi ni nani?? Ameshiriki mara ngapi kutoa uhai wa wenzake?? Ben Saanane yuko wapi, Wangwe yuko wapi? Kwa akili yako unadhani Mbowe hakuhusika?
Lissu ni mpango wa Mbowe, ndio maana dereva wake alikimbia mzee.Mtieni hatiani. Mbona nyinyi mmeuwa kina alphone mawazo mchana kweupe na mkapiga Lisu risasi peupe. Mpaka zee kenu limekufa na laana za damu za watu
Hii pic kwenye avatar ni ya mtu fulani hv ! ama ni ww umebadili jina?Hapo sasa tupo pamoja Mr Animo.
Wale mahakimu na Kingai kama waliamua kupindisha sheria ili kummaliza Mbowe kama walivyofanya kwa Tundu Lissu ( Kwa sababu za kisiasa) basi watalaaniwa na mwisho wao utakuwa hapa hapa duniani.
Siasa ni kushindana kwa nguvu za hoja ila sio kwa ubatilifu na hila.
Ni mimi enzi ya ujana wangu mkuuHii pic kwenye avatar ni ya mtu fulani hv ! ama ni ww umebadili jina?
Hawa wana CHADEMA huwa ni wapuuzi sana! Unaweza kudiriki kusema Mbowe ni msafi kwa lipi hasa? Maana anashutuma kibao za mauaji!Aliyekwambia Mbowe ni msafi ni nani?? Ameshiriki mara ngapi kutoa uhai wa wenzake?? Ben Saanane yuko wapi, Wangwe yuko wapi? Kwa akili yako unadhani Mbowe hakuhusika?
Mungu wa mbinguni awabariki nyote.
Mungu wa mbinguni mbariki Freeman Mbowe
Mungu wa mbinguni awabariki makomandoo!
EU Mhimili wa Dunia.......
Mungu ibariki Tanzania. na wapenda Haki popote Ulimwenguni...kutoka Kivu Mashariki Macho yote ya Dunia yameelekezwa Tanganyika
Yametimia hatimaye,Team roho mbaya wataficha wapi nyuso zao za makunyanzi?
Mh.Mbowe siyo gaidi.
Leo FAM hatoki.. watamkuta ana kesi ya mchongo ya kujibu
Kesi ya FAM na wenzake ipo na itaendelea kwa muda mrefu.Angalizo,wakifanya hivyo kitaumana.