Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapumua...HUYU CREMIA SIPENDI KUMUONA HUMU MTOENI HUMU
Kejeli zako hazitasidia kuondoa ukweli kwamba gaidi ana kesi ya kujibuHa haha! Kupiga virungu hatimae kukalia kirungu! Kudadeki, ndio maana lina akiliza hovyo sana hilo Crimea
Mkuu, kesi ya akina Mbowe unaweza kuilinganisha na ya Sabaya? Sabaya naye amesingiziwa?Wanachadema tuache siasa za chuki na mambo ya kufurahia pale wanaCCM kama Sabaya wakipata makosa
Leo Mbowe ana kesi ya kujibu lakini hii sio sababu kuwa ana hatia tayari.
Tujifunze na kuacha kufurahia watu wakisingiziwa makosa.View attachment 2123209
Wewe hujui kitu kaa kimya.Mkuu, kesi ya akina Mbowe unaweza kuilinganisha na ya Sabaya? Sabaya naye amesingiziwa?
Ni ya ugaidi sawa tuu na Sabaya.Mkuu, kesi ya akina Mbowe unaweza kuilinganisha na ya Sabaya? Sabaya naye amesingiziwa?
Utasikia anajifariji eti anafanana na Mandela 😁😁😁😁.Akipona kesi hii mshaurini mwenyekt astaafu siasa asimamie biashara zake, siasa za nchi za africa ni hatari sana.
Ni hatari kushinda na mamlaka, ogopa sana Mkuu.Heshimuni madalaka ya dunia.Mbowe sio gaidi ila hakueshimu mamlaka ya dunia apo tu ndo alialibu na itamtesa sana
Corona inatisha kuliko hata jelaKila mutu Ni chakula ya udongo,hata huyo gaidi wenu anasubiriwa na michanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Mshukuru sana jiwe kufariki vinginevyo bado ungekuwa mafichoniCHADEMA jiepusheni na kauli tata na zile zinazoonesha dharau, kejeli kwa Jaji, Mahakama na Rais wa nchi mtampoteza Mbowe na hamna la kufanya zaidi ya kulia lia kwenye mitandao.