Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

Kesi la ovyo halina mshiko wowote ,limejaa visasi vya kisiasa na kukomoana tuu ili kuua upinzani,umaskini, wizi wa kura na kubambikiana kesi ndio itakuwa legacy ya CCM, miaka ijayo watu watauliza mliwezaje kutawaliwa na watu wa ovyo kama CCM?
 
Heshimuni madalaka ya dunia.Mbowe sio gaidi ila hakueshimu mamlaka ya dunia apo tu ndo alialibu na itamtesa sana
Kwani Kuna mamlaka ya wapi na wapi. Tuanzie hapo. Pili huwezi heshimu mamlaka ambayo hajiheshimu, haiheshimu katiba, uhuru wa kujieleza, democrasia, matumizi ya hovyo ya fedha za umma kama haya ya kuendesha kesi za hovyo. Mfano wewe unaweza mheshimu Kaisari Tiberio Pontio Pilato? Huyu mwamba alikuwa na mambo meusi kupitia kiasi.
 
Sasa wewe unadhani mungu pia haoni haki iko wapi, mm ninaamin mpaka siku Naenda kaburini, Mbowe alikuwa na mchezo mchafu na wala usofikie kuwa mungu ajui unachokiwaza kabla hata ya kutenda, kwa hiyo km ni mungu anaplay pande zoote, yaani anayedikiria eti Samia amemtengenezea kesi Mbowe, basi jua hata huyo mungu unayemuomba hatakusikia maana ukweli unajulikana.
Ukweli gani zaidi ya maelekezo ?!
 
I Kwa namna Rais alivyojibu swali la mbowe la Soud wa DEUTCHEWELLE kwa kupaniki nilikua Najua tu kuwa bado ana kitu rohoni na anahisi itakua fedheha kwake mbowe kuonekana hana kesi ya kujibu
Lakini muhimu tumshauri Rais asibebe dhambi za kurithi ; hao watu wameteseka sana hasa hao commandos
asijitafutie dhambi bure
Kimsingi hii kesi Mama kaikuta. Kosa la mbowe ni hitajio la katiba mpya tu. Mama walimchanganyia hasira tu wale wanafiki wengine
 
I Kwa namna Rais alivyojibu swali la mbowe la Soud wa DEUTCHEWELLE kwa kupaniki nilikua Najua tu kuwa bado ana kitu rohoni na anahisi itakua fedheha kwake mbowe kuonekana hana kesi ya kujibu
Lakini muhimu tumshauri Rais asibebe dhambi za kurithi ; hao watu wameteseka sana hasa hao commandos
asijitafutie dhambi bure
Naona mawazo yetu yalikuwa sawa sawa kabisa.

Ila hapa bado kuna jambo moja ambalo lazima tulikubali kuwa mh Mbowe mwisho wa siku atashinda kesi au kuonekana ameshinda kesi hii.

Msukumo ulio nyuma ya pazia kwa watawala ni mkubwa sana na wao wanajua.

Ni suala la muda tu na mh Mbowe atazidi kukaa jela lkn mwisho wa siku watawala wanaona aibu kumwachia ktk stage hii.
 
Najaribu kutafakari kwamba hizi issue mbili zinazo trend yaani kule Tundu Lisu kupata nafasi ya kuongea na Mama na huku leo maamuzi ya kesi ya Mbowe je matukio haya kwa hizi tarehe imetokea tu au mfumo unafanya kazi. NADHANI WAPO WANAONIELEWA
Nimekuelewa sana na kikuchofanyika leo wengi wetu tulikutegemea ila mwisho wa siku mh Mbowe atashinda kesi iwe kwa hila au ukweli nafikiri umenielewa
 
Nilipoona post ya Chakaza na vile ulivyohitimisha nilianza kujiandaa....hii giza itafika mahali kutapambazuka tu.
 
Kwanini mawakili wanalazimisha anuani za Mashahidi ziwekwe wazi??? ni kwamba wanawatishia au wanataka kwenda kuwafanya vibaya...

Haya mambo bha
Hii kesi mkuu Inaufadhili wa sukuma gang ,kundi hatar kabisa linahitaj mashahid majina yao na anwani ili wakanunue kesi ,ila wajue huu si uchaguz ya kwamba wataiba kura ,kitu kipo mezani.
 
Mkuu naliona kila siku hapa Igoma kuna bar fulani kila siku linaombeleza tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka ukiwa wapi?

Hadi gaidi amalize kujitetea itakuwa novemba 2024...

Mama anaupiga mwingi sana huku akiwakomesha sukuma gang na kufuta legacy

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom