Kesi la ovyo halina mshiko wowote ,limejaa visasi vya kisiasa na kukomoana tuu ili kuua upinzani,umaskini, wizi wa kura na kubambikiana kesi ndio itakuwa legacy ya CCM, miaka ijayo watu watauliza mliwezaje kutawaliwa na watu wa ovyo kama CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kuna mamlaka ya wapi na wapi. Tuanzie hapo. Pili huwezi heshimu mamlaka ambayo hajiheshimu, haiheshimu katiba, uhuru wa kujieleza, democrasia, matumizi ya hovyo ya fedha za umma kama haya ya kuendesha kesi za hovyo. Mfano wewe unaweza mheshimu Kaisari Tiberio Pontio Pilato? Huyu mwamba alikuwa na mambo meusi kupitia kiasi.Heshimuni madalaka ya dunia.Mbowe sio gaidi ila hakueshimu mamlaka ya dunia apo tu ndo alialibu na itamtesa sana
Ukweli gani zaidi ya maelekezo ?!Sasa wewe unadhani mungu pia haoni haki iko wapi, mm ninaamin mpaka siku Naenda kaburini, Mbowe alikuwa na mchezo mchafu na wala usofikie kuwa mungu ajui unachokiwaza kabla hata ya kutenda, kwa hiyo km ni mungu anaplay pande zoote, yaani anayedikiria eti Samia amemtengenezea kesi Mbowe, basi jua hata huyo mungu unayemuomba hatakusikia maana ukweli unajulikana.
Kuna mahaka umeona ktk mwenendo wa kesi kosa la urio ni kuhusika kwa sababu ni mwanajeshi?Kama sio kamanda urio ambae ni kamanda wa jeshi.
Mbowe angekuwa na KESI GANI YA KUJIBU!?
Hakuna kilicho haribika. We kwa akili yako ulitaka leo leo Jaji aifute si mtasema kalazimishwa??Vipi?
Unateseka ukiwa wapi?
Mama si jana tu katoka kukutana na Lisu ukashangilia sana?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kuna mahaka umeona ktk mwenendo wa kesi kosa la urio ni kuhusika kwa sababu ni mwanajeshi?
Ccm ni majambazi wa kuraNikiangalia umati wa watu nimeamini ule uchaguz kura tuliibiwa
Unahangaika bure. Kesi ya mchongo hii Urio hahusiki nayo. Naye ni mhanga tu.Kwa hyo aliyekwenda kumchoma mbowe alikuwa raia?
Kimsingi hii kesi Mama kaikuta. Kosa la mbowe ni hitajio la katiba mpya tu. Mama walimchanganyia hasira tu wale wanafiki wengineI Kwa namna Rais alivyojibu swali la mbowe la Soud wa DEUTCHEWELLE kwa kupaniki nilikua Najua tu kuwa bado ana kitu rohoni na anahisi itakua fedheha kwake mbowe kuonekana hana kesi ya kujibu
Lakini muhimu tumshauri Rais asibebe dhambi za kurithi ; hao watu wameteseka sana hasa hao commandos
asijitafutie dhambi bure
Naona mawazo yetu yalikuwa sawa sawa kabisa.I Kwa namna Rais alivyojibu swali la mbowe la Soud wa DEUTCHEWELLE kwa kupaniki nilikua Najua tu kuwa bado ana kitu rohoni na anahisi itakua fedheha kwake mbowe kuonekana hana kesi ya kujibu
Lakini muhimu tumshauri Rais asibebe dhambi za kurithi ; hao watu wameteseka sana hasa hao commandos
asijitafutie dhambi bure
Nimekuelewa sana na kikuchofanyika leo wengi wetu tulikutegemea ila mwisho wa siku mh Mbowe atashinda kesi iwe kwa hila au ukweli nafikiri umenielewaNajaribu kutafakari kwamba hizi issue mbili zinazo trend yaani kule Tundu Lisu kupata nafasi ya kuongea na Mama na huku leo maamuzi ya kesi ya Mbowe je matukio haya kwa hizi tarehe imetokea tu au mfumo unafanya kazi. NADHANI WAPO WANAONIELEWA
Shujaa wenu leo hii ni michanga tuShujaa anaenda kunyea debe[emoji23][emoji23]
Mkuu ,I Know what is going to happen,ndo maana Nina furaha.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani amesha wafunga au wanatakiwa kujibu kesi, kujitetea?!
Kila mutu Ni chakula ya udongo,hata huyo gaidi wenu anasubiriwa na michanga[emoji23][emoji23][emoji23]Shujaa wenu leo hii ni michanga tu
Bado kuteseka kuko pale pale..Hakuna kilicho haribika. We kwa akili yako ulitaka leo leo Jaji aifute si mtasema kalazimishwa??
Hii kesi mkuu Inaufadhili wa sukuma gang ,kundi hatar kabisa linahitaj mashahid majina yao na anwani ili wakanunue kesi ,ila wajue huu si uchaguz ya kwamba wataiba kura ,kitu kipo mezani.Kwanini mawakili wanalazimisha anuani za Mashahidi ziwekwe wazi??? ni kwamba wanawatishia au wanataka kwenda kuwafanya vibaya...
Haya mambo bha
[emoji23][emoji23][emoji23]Unateseka ukiwa wapi?Mkuu naliona kila siku hapa Igoma kuna bar fulani kila siku linaombeleza tu