Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nimekusikiliza leo ukiponda nafasi ya ma DC na unapendekeza vyeo hivyo vifutwe, niliposikia ukisema maneno hayo tu sikutaka tena kukusikiliza.
Huko mawilayani Wakuu wa Wilaya wana msaada mkubwa kwa wananchi, wananchi wana imani sana na wakuu wa wilaya, wao ndio wanaotuliza mambo ndani ya wilaya, nikipata muda nitakupitisha kwenye majukumu ya wakuu wa wilaya, lakini nashangaa pia mwanasheria Tundu Lissu alisoma nini administrative Laws asijue majukumu ya wakuu wa wilaya.
Kwa kweli rudisha hiyo chopa ya watu, mnachezea sana hela za wananchi wenu.