Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

Gharama za maisha zimepanda mara dufu kutokana na bidhaa kupanda bei, umeme umekuwa ni kitendawili tangu Samia aingie madarakani mara maintainance schedule, mara Mtera kina kiko low, mara mvua hakuna.

Tumepita kwenye mgao mkali sana wa maji kwa kipindi cha hivi karibuni, deni la Taifa linapaa kwa kasi kubwa sana kwa kukopa kopa kila mara,,, sasa kwa hali kama hii tulitarajia Mbowe ndie awe mstari wa mbele kuunguruma, lakini kawa kimya..!!!

Enzi zile za vyuma kukaza Mbowe aliitisha press conf mara kadhaa Kuzungumzia hali ya kiuchumi, kisiasa nk lakn utawala huu baada ya Mbowe kutoka tu Ikulu amekuwa mkimyaaaa,,, kana kwamba All Is Well

Sasa kwa hali hii kwann wananchi wasiamini kwamba mjomba si tu kalambishwa asali bali kapewa na ekari kadhaa ya shamba la mizinga!???
 
una minyoo kichwani! you are to be ignored!
 
Mwenyekiti wa Chadema mh. Mbowe amesema anakerwa sana na Watu wanaodai amelambishwa asali.

Mbowe amesema yuko kwenye upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu hivyo kusema nalamba asali ni matusi kwangu

Source Ayo tv
 
Upinzani mmekuwa vuguvugu si moto wala si baridi…
Chagueni upande hizi story si muda wake….
 
Mbowe yuko anapigania ustawi wa Watanzania miaka yote hiyo na raia wenyewe wananing'iniza makende wala hawachukui hatua kila siku kulalamika tu.
Mwishowe amejichokea nguvu za mikiki ya ujana hana hao raia wenyewe wanasema analamba asali.

Jukumu la kutetea nchi sio la Mbowe na wapinzani peke yao, sio shamba la urithi hili
 
Mbowe asizisikilize hizi propaganda dhaifu. Ni mbinu ya kumkatisha tamaa ktk mapambano yake
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anakerwa sana na Watu wanaodai amerambishwa asali.

Mbowe amesema yuko kwenye upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu hivyo kusema nalamba asali ni matusi kwangu

Source Ayo tv
Mbona hatujamwona anarusha ngumi
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema anakerwa sana na Watu wanaodai amerambishwa asali.

Mbowe amesema yuko kwenye upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu hivyo kusema nalamba asali ni matusi kwangu

Source Ayo tv
KAMANDA kuna ONGEZEKO KUBWA la WAJINGA NCHI HII ni KUNDI la KUOGOPWA ndio hao WANAOROPOKA ROPOKA WAPUUZE
 
Kazungumza hayo wakati amekumbatia sega la asali.
 

Upinzani nao ni binadam wanachoka. Unaeza choka zaid kama unapigania kizaz cha watu wasiojielewa
 
KAMANDA kuna ONGEZEKO KUBWA la WAJINGA NCHI HII ni KUNDI la KUOGOPWA ndio hao WANAOROPOKA ROPOKA WAPUUZEView attachment 2443384
Off topic..Hivi huyu mzee Ulimwengu hua ana sifa gani mpaka maneno yake kutukuzwa hivi? Kuna kipindi walisema sio mtanzania .. kama kuna mdau ana wasifu wake pls.
 
Hata ukiwa na miaka 100,asali ikifika ni ngumu kuikataa,maana anapooza machungu baada ya maswaibu mazito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…