Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

Inabidi turudi nyuma tuangalie ilikuwaje Chdema ikakubali kumkaribisha Lowassa kuingia chdema nq kumpatia nafasi ya kuwa mgombea urais.
Pale ufipa huwa hawapendi kukumbushwa jinsi walivyomkaribisha Lowassa kwa mbwembwe.
 
Mbowe ni kaa la moto kwa ccm , that's tuona mambo mengi , kwamba ccm wanawapaisha wanachadema kuliko paisha chama chao , safari hii ccm mtajua hamjui,

Lipo la bandari, lipo la kukopa kiwango cha juu sana, lipo la ugum wa maisha , lipo la Makonda , hamchoki, aya mambo hayatokei bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…