CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hii kuweka mabandiko ya kuwasifia watu ili wakupe hela kwanini hajui njaa uliyokuwa nayo wewe kapuku? Umeona suala la uteuzi limebuma sasa unaona umsifie kila mwenye hela ili usife njaa,wewe uliyekuwa unamponda Mbowe leo hii umekuwa chawa wake unampamba kwa kila sifa,ama kweli masikini hana kiapoBakuli lipo wapi