Eti na MAGUFULI...AISEE WE JAMAA DAAH,Wanasiasa (kasoro Nyerere na Magufuli) wapo pale kwa masilahi yao binafsi, siyo ya wananchi.
Hapa sio suala la kuingilia mhimili mwingine. ni kuangalia sheria zilizopo zinasema nini kuhusu wakina Mdee na wenzake mpaka muda huu.Mnataka Mheshimiwa Rais aingilie Mhimili mwingine, and you still call yourselves democratic!
Hizo sheria zitaenda kuangaliwa mahakamani.Hapa sio suala la kuingilia mhimili mwingine. ni kuangalia sheria zilizopo zinasema nini kuhusu wakina Mdee na wenzake mpaka muda huu.
Katiba inatamka wazi, wabunge lazima wawe wanatokana na chama cha siasa ili wahalalishe uwepo wao bungeni.
Wale kina Mdee wamefukuzwa uanachama, maana yake kule bungeni mpaka muda huu hawatokani na chama chochote, hawa wanavunja sheria kwa uwepo wao bungeni.
Spika Tulia ni mwanasheria, ina maana haoni huu uvunjifu wa sheria anaousimamia tena akiwa kama kiongozi wa chombo cha kutunga sheria? hizi ni dharau kwa watanzania.
Ya nini yote hayo? Chadema imeshafanya wajibu wake, mengine wawaachie Wananchi wanaona. Sioni sababu ya kuanza kufuatilia wametoka au hawajatolewa. Tunawasubiri tuone watatuambia Nini na hizi double standard zào.Ni wazi haya anayoyafanya Spika kuhusu akina Halima Ni delaying tactics. Hiyo kesi kamwe haitaisha mpàka 2025.
The only solution Ni Mwenyekiti Freeman Mbowe kumuona Samia kuhusu upuuzi huu wa Tulia na Ni deliberate move to block justice na kuiweka Chadema katika mgogoro. Short of that Ni ubatili mtupu na huo mkutano wenu msipoteze muda maana majibu ya Samia kuhusu hili la akina Mdee yana predict future trend!
Well maybe you are right. But how many times rais ameingilia maamuzi ya mihimili mingine?Mnataka Mheshimiwa Rais aingilie Mhimili mwingine, and you still call yourselves democratic!
Hizi pilika zote za namna ya kuwalinda hao wasaliti ,Rais Samia ameshakuwa informed, Rais Samia hataki maridhiano, Rais Samia hajiamini na ni muoga sana akiifikiria 2025.
So, CDM wala wasihangaike tena na huyo Mama ni mnafiki na ni mtu anayepelekeshwa pelekeshwa na wenye system.
Hakuna mahala maridhiano na shetani yakafanikiwa, NEVER.!
Ni wazi haya anayoyafanya Spika kuhusu akina Halima Ni delaying tactics. Hiyo kesi kamwe haitaisha mpàka 2025.
The only solution Ni Mwenyekiti Freeman Mbowe kumuona Samia kuhusu upuuzi huu wa Tulia na Ni deliberate move to block justice na kuiweka Chadema katika mgogoro. Short of that Ni ubatili mtupu na huo mkutano wenu msipoteze muda maana majibu ya Samia kuhusu hili la akina Mdee yana predict future trend!
Do two wrongs make a right?Well maybe you are right. But how many times rais ameingilia maamuzi ya mihimili mingine?
Starting with awamu zilizopita?
In Tz rais akiamua hata kama ni jambo la muhimili flani hakuna wa ku object. and hiyo ndio weakness ya mifumo yetu