Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo maneno tofauti na matendo.Wanaukumbi.
View attachment 2219314
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Kwa viongozi dhaifu, kipindi cha anko magu alitiwa kwenye kale kamfuko kadogo ka jeans ka kutunzia flash na Nchi ikatulia na ikasongaWanaukumbi.
View attachment 2219314
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Ukiangalia wewe inatoshaumea
umeangalia hiyo video?na kumuelewa mleta mada?
Sha iuza CHADEMA kwa mama, mbona unabashasha namna hiyo!Wanaukumbi.
View attachment 2219314
Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Ukiona hivyo, ujue kuna tegemeo la fadhira atakalowafanyia Mbowe.Naona unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ukiona hivyo, ujue kuna tegemeo la fadhira atakalowafanyia Mbowe.
Haya yanaweza kuwa ni matumaini yasiyokuwa tofauti sana na yale ya fisi.
Ngoja tusubiri.
leo maria na martini wamenunaKule Twita Chadema-Kata na wanaharati njaa wamechukia
Unaonekana ulianza mataputapu ktk umri mdogo sana kiasi kwamba akili zako zimedumaa!Kwenye siasa Hakuna RAFIKI Wala ADUI wa KUDUMU Bali Kuna:
- MASLAHI YA KUDUMU
- WANASIASA na WANAHARAKATI Wajanja
- MISUKULE
Nikuhakikishie: hakuna vijana wenye akili, weledi, uelewa kama vijana wa Chadema, hatawa watawala wanajua hili.VIJANA WA UFIPA NI VIAZI MVIRINGO 🥔😁
Zitto Kabwe. akikutana na watawala:👉🏽 anaitwa MSALITI, DALALI, CCM ‘B’
Mbowe akiomba vikao vya siri na watawala: 👉🏽Rais mtarajiwa, anafanya siasa, shujaa.
Chai ☕️ ya Ikulu tamu sana. 👋🏿😁
Ukweriii Simba akiwa na njaa hata nyasi atakula.
Amejikaza sana. Anajua anaumia moyoni lakini atafanyaje sasa na Mama kashakataa udhalimu?
Jamaa anauwezo mkubwa sn wa kiungoziWanaukumbi.