Mbowe ni master wa siasa Tanzania tumpe pongezi

Mimi ningekuwa Mama kwa awamu hii ningewapatia Watanzania Katiba Mpya.
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Kwahyo maneno tofauti na matendo.
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Kwa viongozi dhaifu, kipindi cha anko magu alitiwa kwenye kale kamfuko kadogo ka jeans ka kutunzia flash na Nchi ikatulia na ikasonga
 
kiboko ya mbowe ni jemedari sabaya. huyu tu ndio kiboko ya mbowe na chadema wote. chadema hawana amani sabaya akiwa free huru. wanataka afungwe ili wawaonee waliopo lakini sabaya kiboko yenu
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Sha iuza CHADEMA kwa mama, mbona unabashasha namna hiyo!
 
Naona unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ukiona hivyo, ujue kuna tegemeo la fadhira atakalowafanyia Mbowe.

Haya yanaweza kuwa ni matumaini yasiyokuwa tofauti sana na yale ya fisi.

Ngoja tusubiri.
 
Huyu Mbowe pia ni sahihi Sasa akiachia uenyekiti wa cdm, kwani kuna sababu zote za msingi kwa yeye kupumzika sasa.
 
VIJANA WA UFIPA NI VIAZI MVIRINGO 🥔😁

Zitto Kabwe. akikutana na watawala:👉🏽 anaitwa MSALITI, DALALI, CCM ‘B’

Mbowe akiomba vikao vya siri na watawala: 👉🏽Rais mtarajiwa, anafanya siasa, shujaa.

Chai ☕️ ya Ikulu tamu sana. 👋🏿😁

Ukweriii Simba akiwa na njaa hata nyasi atakula.
 
Kwenye siasa Hakuna RAFIKI Wala ADUI wa KUDUMU Bali Kuna:

  • MASLAHI YA KUDUMU
  • WANASIASA na WANAHARAKATI Wajanja
  • MISUKULE
Unaonekana ulianza mataputapu ktk umri mdogo sana kiasi kwamba akili zako zimedumaa!
Ni vyema ukajitafakari kwani unakoeleleka ni kuwa mwendawazimu!
 
VIJANA WA UFIPA NI VIAZI MVIRINGO 🥔😁

Zitto Kabwe. akikutana na watawala:👉🏽 anaitwa MSALITI, DALALI, CCM ‘B’

Mbowe akiomba vikao vya siri na watawala: 👉🏽Rais mtarajiwa, anafanya siasa, shujaa.

Chai ☕️ ya Ikulu tamu sana. 👋🏿😁

Ukweriii Simba akiwa na njaa hata nyasi atakula.
Nikuhakikishie: hakuna vijana wenye akili, weledi, uelewa kama vijana wa Chadema, hatawa watawala wanajua hili.
Zitto historia yake ndio inamhukumu; haaminiki, ndumila la kuwili, na mpenda maslahi binafsi
 
Wanaukumbi.

View attachment 2219314

Freeman Mbowe atabaki kuwa na nafasi ya Pekee sana kwenye Siasa za Upinzani hapa nchini, jina lake litaishi hata asipokuwepo. Huwa hakurupuki na haongozwi na hisia bali anapeleka mambo yake kwa akili na Mipango. Viongozi Vijana wa Upinzani wana mengi ya Kujifunza toka kwa Mbowe.
Jamaa anauwezo mkubwa sn wa kiungozi
 
Nikuhakikishie: hakuna vijana wenye akili, weledi, uelewa kama vijana wa Chadema, hatawa watawala wanajua hili.
Zitto historia yake ndio inamhukumu; haaminiki, ndumila la kuwili, na mpenda maslahi binafsi
Vijana gani kina Lema?
 
Mbowe kabakia kuwa nembo ya Taifa ya Siasa za Upinzani, laiti leo kama mbowe akisema anaachana na siasa yaani atakuwa kawaumiza na kuwakatisha tamaa watanzania wengi kabisa.

Kiongozi aliyebakia na mwenye msimamo wa dhati ni yeye na baadhi ya wenzake pale CDM.

Mbowe ni JABARI la siasa za Tanzania.
 
Mfano ni huu, Mbowe anaitwa IKULU mara ya pili - anaongea na Rais wa nchi ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, lakini kwa namna ANAVYOAMINIKA hakuna mwana CDM yeyete ambaye amedhani kwamba Mbowe alikwenda IKULU kufanya dili.

Mtaji wa mwanasiasa ni uaminifu kwa wafuasi wake na kwenye level hii Mbowe kashaipita.
 
Back
Top Bottom