#COVID19 Mbowe ni nani hadi atangaze vifo vya wagonjwa wa Corona?

Tumia Akili hata za Kuazima mkuu inaonyesha Ubongo umehamishwa
 
Ukisikia akili za kushikiwa ndio hizi.

Familia inayohaki zote kusema au kutosema chanzo na sababu za kifo Cha mpendwa wao. Hakuna Sheria Wala mtu wa kuwapangia waseme au wasiseme.

Pili kwa sababu ya ujinga wako imeshindwa kutofautisha Mambo ya kitaifa na Mambo ya kifamilia.

Imeshindwa hata kutoa pole kwa familia yake umeishia kufanya siasa na kukuona mjanja.
 
Wewe mtoa hoja pls book yourself pale Mirembe Hospital,una ugonjwa mbaya sana,Mr.Mbowe amemtangaza ndugu yake na ni haki yake,hoja hizi zina elements za kimalaya malaya,alikufa ni ndugu yake Mr.Mbowe wewe unawashwa na nini?sheria gani ya nchi inayoruhusu only uliowataja hapo juu kutangaza kuhusu covid 19
 
Duh.... mnataka mpaka familia ipangiwe nini cha kusema kuhusu ndugu yao?
 
Hilo agizo alikupa nani? Kuna siku utajisikia kwenda haja, hutaenda, kwa sababu tu kuna mwendawazimu mmoja alikuambia huruhusiwi kwenda haja mpaka akuruhusu, na wewe kwa ujinga wako ukalibeba hilo kama vile uli weumbwa huna akili.

Wenye akili wanajua kuwa kuna maagizo halali na ya kijinga ambayo yanatakiwa kufuatwa na watu wasio na uelewa.

Kwa sheria inayolinda privacy ya mtu, anayeruhusiwa kisheria kutangaza maradhi ni mgonjwa mwenyewe. Kwa marehemu, mwenye haki ya kutangaza sababu ya kifo ni mwanafamilia aliye na haki ya kufanya maamuzi kwaajili ya marehemu.
 
Yupo sahihi,ametoa taarifa kama mwanafamilia.Pia amepewa cheti cha kifo na Dr haina mbaya.
Hajatoa takwimu kitaifa.

Shida unachanganya ukereketwa wa siasa.
Amiri Jeshi mkuu amempa pole,wewe nani uhoji
Uyu tatizo lake ni ukereketwa, nadhani tu upstairs hayupo sawa.
 
Kwahiyo alikuwa katika wale wagonjwa 100 wa corona? Na vp watu wa karibu waliyokuwa wanaishi na marehemu wamewekwa karantini?
 
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 

Pole sana bwana Mbowe.

Vifo hivi vingeweza kuepukika. Ugonjwa huu bila ya serikali kuwajibika sote tu wahanga.

Ni suala la muda tu.

Cc: Fundi Mchundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…