4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Kwani wewe ni nani mpaka kuoji ya Mbowe,Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari
Je, Mbowe ni nani kati ya hao?
Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.
View attachment 1846603
Mnona mwenyekiti wenu amezunguka tanganyika na zanzibar akiwa na nyomi ya watu na mwishowe kaka yake kaondoka na huo ugonjwa hamsemi chochote?Samia hana nia ya dhati kabisa kupambana na corona ukiangalia mienendo yake
Yaani unakusanya watu morogoro na kuwaambia wasikusanyike?
Kama ni ujinga basi huu ni ujinga kiwango cha PhD
Wengi wanaofariki kwa UVIKO na wale wenye kinga hafifu jasa waishio mijini (wafanyakazi serikalini, umma, binafsi, wafanyabiashara wakubwa na wakati, mashirika ya kujitolea yenye ufadhili kutoka nje ya nchiMwenzio anawafurahisha mabeberu.
Anaona sifa kutaja corona angekuwa kafab kwa kuharisha asinge taja.
Isije kuwa kuwa side effect ya chanjo.
Kwa misingi hiyo ameenda kuwaambukiza wtanzania wengi sana kama amekiri nduguye kafa kwa UVIKO. Kwanini anaendelea kufanya ziara zinazokusanya watu wengi tena bila kuchukua tahadhari halafu anajinasibu ni mwakilishi mzuri wa kuzuia maambukizi?Mnona mwenyekiti wenu amezunguka tanganyika na zanzibar akiwa na nyomi ya watu na mwishowe kaka yake kaondoka na huo ugonjwa hamsemi chochote?
MkuuMasalia ya mwendazake yanahangaika sana.
Huko mbeleni utakuja kuwa mchawi wewe, aliekuwa nawatia ujinga yuko adrdhini sasa hivi anaongea na kifusi,Nimekutana na video ya Freeman Mbowe mitandaoni akitangaza msiba wa kaka yake Charles Mbowe kuwa amefariki kwa ugonjwa wa Corona!
Swali Mbowe amekuwa nani wa kutangaza magonjwa ya Corona?
Agizo lilipo mpaka sasa ni kwamba ugonjwa wa Corona utaongelewa na kutangazwa na
1. Waziri mkuu
2. Rais
3. Waziri wa afya
4. Madaktari
Je, Mbowe ni nani kati ya hao?
Licha ya hivyo Mbowe haaminiki mbele ya uma wa Tanzania tokea siku ile alipoangushwa na konyagi alafu akaitangazia dunia kuwa amepigwa na wasiojulikana ili tu apate kiki kisiasa.
View attachment 1846603
Uko vizuri mkuuMkuu
Ulipiga kelele kuhusu barabara ya Lusahunga huko Ngara kuelekea Rwanda ilishatengenezwa?
Usijipe moyo kwamba masalia ya mwendazake kama unavyoita yanahangaika sana ukidhani kwamba mtawazima; hicho kitu hakiwezekani.
Waliapishwa kwa Yasmini bila nguvu kutetea kile ambacho kinaenda kinyume na unavyotaka.
'The Spirit is Revolving, Propelling and shall Prevail towards the end of times'
Ambao hajawatangaza Mimi siwajui nimemjua aliyetangwazaMbona kuna ndugu zake waliokufa kwa magonjwa mengine lakini hakutangaza?
'Think long-distance; act short distance for risk avoidance.'
Ndivyo vinavyowaingizia ruzuku sasa hivi au haufahamu mkuu hilo? Fuatilia utabaini kibindo mficho kina mambo🙆♂️🙆♂️🙆♂️Upinzani wanashangilia vifo vinavyotokana na CORONA