Mbowe ni zaidi ya msaliti na laghai wa kisiasa. Mimi nilitarajia awe Ngangari kama Lipumba wa CUF

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
 
FB_IMG_1595009729173.jpg
 
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
Fafanua nini kimekukwaza.Acha kurukaruka kama umeumwa na tandu.
 
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
Duh! Andiko lako ni lazima tu liwe la mtu kutaka kurudisha fadhila kwa ahadi ya malipo yanayomhusu mtu mwenye cheti feki. Kwa ahadi tu unaandika upuuzi huu, endapo ukilipwa hiyo haramu si itakuwa balaa zaidi!?
 
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
Acha upimbi ,familia yake ni bora kuliko nyie pimbi
 
Akaunti yake imesha soma mihamala ya uwekezaji???
 
Chadema hakuna kiongozi zaidi ya Mbowe, Sugu na Msigwa, hawa na mates waliyiyapitia hawakimbilia Ughaibuni, wamesota na wanachama wao, sio kama hao waliokwama ughaibuni na kubakia kurusha madongo yasiifika popote, hao bado wanaliogopa KABURI LA JIWE
 
Aache kufanya mambo yake apiganie wapumbavu kama wewe jinga sana jipiganie mwenyewe usitegemee mwanaume mwenzako akupiganie.
 
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
msaliti ni wewe na mamayenu huko ccm mnapeperusha ndege na kitambaa kwa billion 6 huku watanzania hawana maji wala umeme kama sio upunga ni nini wajinga mnaoshindwa kuandamana mkiambiwa muandamane kufeni kabisa muishe wote hadi akili zenu za kipuuz ziwatoke
 
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
kwani mbowe kafanya nini mpaka unamuita msaliti. boss eb toa ufafanuzi kamili
 
Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni?

Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro.

Daudi Mwangosi?

Kisa tu asali za kuzaliti mapambano.
Hawa wanasiasa bhana wanatuchezea aisee
 
Back
Top Bottom