goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Nov 2, 2022 #21 Acheni mzee huyu amesota a sana
M mbuzimawe99 JF-Expert Member Joined Nov 23, 2021 Posts 231 Reaction score 802 Nov 2, 2022 #22 Idugunde said: Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni? Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro. Daudi Mwangosi? Kisa tu asali za kuzaliti mapambano. Click to expand... umeacha kumlilia bwanako Sabaya siku hizi [emoji28][emoji28]yupo pale Jela Karanga anaendelea kunyea debe,kazi anayo
Idugunde said: Yaani misukosuko ya kukaa rumande iwe sababu ya kuwasaliti watanzania waliojitoa kwa ajili ya upinzamni? Wale waliomwaga damu zao kwenye mabu ya Arusha, waliouwawaa huko Morogoro. Daudi Mwangosi? Kisa tu asali za kuzaliti mapambano. Click to expand... umeacha kumlilia bwanako Sabaya siku hizi [emoji28][emoji28]yupo pale Jela Karanga anaendelea kunyea debe,kazi anayo
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 2, 2022 #23 Idugunde said: Ndio nini sasa ? Click to expand... Una akili duni mno
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Nov 2, 2022 #24 Mkirindi said: Chadema hakuna kiongozi zaidi ya Mbowe, Sugu na Msigwa, hawa na mates waliyiyapitia hawakimbilia Ughaibuni, wamesota na wanachama wao, sio kama hao waliokwama ughaibuni na kubakia kurusha madongo yasiifika popote, hao bado wanaliogopa KABURI LA JIWE Click to expand... Tokazako Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Mkirindi said: Chadema hakuna kiongozi zaidi ya Mbowe, Sugu na Msigwa, hawa na mates waliyiyapitia hawakimbilia Ughaibuni, wamesota na wanachama wao, sio kama hao waliokwama ughaibuni na kubakia kurusha madongo yasiifika popote, hao bado wanaliogopa KABURI LA JIWE Click to expand... Tokazako Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Nov 2, 2022 #25 Mbowe na Lipumba pipa na mfuniko.