CHADEMA ni taasisi imara sana chini ya Captain MBOWE, Ila itaimarika zaidi chini ya uongozi wa Tundu LissuMwenyekiti anaye maliza muda wake, Freeman Mbowe amesema ya kwamba iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigoni. Kwa maana nyingine atagombea uenyekiti wa CHADEMA. Je nani anataka kugombea uenyekiti akizamishe chama.
Kwa kauli hii ya Mbowe Ina maana atagombea uenyekiti. Nadhani Mbowe anafikiri yeye tu ndio mwenye uwezo wa kuisimamisha CHADEMA. Wengine wataizamisha
CHADEMA kilikuwepo na itaendelea kuwepo bila yeye, tunachotaka ni Chama Imara ambacho hata Kiongozi akifa hakitetereki.Ndio idea ya Mbowe hiyo. Bila yeye hakuna CHADEMA
Maneno yanayoonesha kuwa yeye ndiye mmiliki wa chadema.iwapo ataona chama chake Cha CHADEMA kinataka kuzamishwa basi ataingia mzigon
Aitwe mwenyekiti wa kudumu wa chadema.Nani kakwambia anamaliza muda wake?