Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Lissu hajawahi kuishi gerezani hata nusu saa.
Kwa hiyo, hajui machungu ya gerezani.
Leo Slaa kadakwa usiku,Lissu ,kakimbia hajulikani aliko,sebuse gerezani?
Lissu amepitia near death experience, mbowe ameshawahi pitis hiyo?
Lissu yupo na bado anaendesha vikao wala hajakimbia
Wakimtaka anapatikana muda wowote
 

Maaskofu na mufti ni watu wa system
 
Ndio maana Huwa nasema ukijujua wewe ni masikini au unpopular jiepusha na kadhia itakayokupeleka gerezani. Nani wakukutoa ndugu yangu.
 
Mbona alipoulizwa na akina Lissu kuwa wameongea nini huko Ikulu? Mbowe akawajibu kuwa sio kila anachoongea na Rais lazima awaambie mengine ni SIRI yake na Samia.

Huyu Mwenyekiti anatuficha nini kama sio kupewa RUSHWA.πŸ€”

Abduli ana Guts gani kuja kuwahonga RUSHWA Viongozi wetu wa CHADEMA bila hata ya kuwa na hofu?
 
Mbowe angekaa kimya angeheshimika zaidi kuliko sasa anaongea ujinga mtupu anazidi kujimaliza
 
Mbona alipoulizwa na akina Lissu kuwa wameongea nini huko Ikulu? Mbowe akawajibu kuwa sio kila anachoongea na Rais lazima awaambie mengine ni SIRI yake na Samia.

Huyu Mwenyekiti anatuficha nini kama sio kupewa RUSHWA.πŸ€”
Mbowe anaficha vingi hata kung’ang’ania Uenyekiti ni kutaka afiche maovu yake wizi wale ufisadi wake kwa pesa za chama
 


Mbowe kiongozi bora kabisa ukimlinganisha na Tundu Lissu..!! Infact Tundu kalelewa sana na Mbowe, sasa hivi Lissu hata kumheshimu Mbowe hafanyi hivyo, ni vibaya sana anafanya
 
Ana udhaifu Alikua anajificha kwenye neno busara, kumbe kichwani mwepesi
Mbowe ni division zero form six ndiyo maana kamteua wenye zero brain awe msaidizi wake, pata picha mbowe mwenyekiti na makamu wale ni Wenje Dalali ni hatari kubwa, chadema itakuwa chama cha hovyo kama Lipumba na CUF yake
 
Rais aliomba kuonana na Mbowe kama Mtu Binafsi au Mbowe kama mwenyekiti wa Chama?

Kama alitaka kuonana na Mtu binafsi Mbowe, ni kujadili mambo gani?

Na kama ni kuonana na Mwenyekiti wa CDM, je Wenzio ndani ya uliwashirikisha? Au wewe ni Alpha na Omega kama wanavyosema akina Jericho?
 
Mbowe ni mjinga sana ..mwenzake mzee Madiba alikua anafuatwa sn na kupewa ahadi nzuri tu lkn mandela aliyagomea makaburu mpaka yaache ubaguz na kweli kaburu akasanda huyu mbowe ovyo kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…