Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mbowe havunji katiba ya chama chao. Chama pia kilitoa nafasi, anayetaka na agombee. Wamegombea.

Hadi sasa sijasikia mtu akilalamikia mchakato. Wamechukua na kurudisha fomu salama. Kamati kuu ituletee majina ya wagombea.

Wajumbe wapige kura. Watakaoshindwa, washindwe kwa haki. Demokrasia itendeke.

Ila namuona Lissu akikiama hiki chama. Nadhani amekosea muda wa kugombea hiyo nafasi.
 
Umetengenezewa kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo au kiungo cha maisha, na dhamira ya kukuhukumu ilikuwepo ila ushahidi walikosa.

Wewe ndio ulikuwa kwenye driving seat, kwa nini usimwambie kama alivyokutangaza kuwa gaidi BBC akutangaze pia kuwa wewe siyo gaidi bali ni mdau wa siasa nchini.

Umeitwa na ukaenda bila kuwapa taarifa viongozi wenzio, mliyozungumza unasema ni siri siyo kila kitu lazima ueleze kwa hiyo ni siri ya Mbowe na mama Abdul.

Ghafla umebadilika hutaki tena siasa za confrontation, akina Soka wametekwa upo baridi. Ali Kibao katrkwa na kuuawa kikatili kwako fresh kiasi hasira za wananchi na CHADEMA walizoonyesha kwa waziri Masauni ukawapoza hutaki. Kuna nini hapa?

Lissu unampa mileage anasema aloyeingoa jela na aloyetoka jela ni wenyeviti tofauti, kwa nini tusimuamini?

Ghafla Mbowe na CHADEMA kuna hela chafu kwa maana hazieleweki zilipotoka. Unakwepaje tuhuma za rushwa?
 
Wajumbe wa mkutano mkuu wanamjua Lissu na Mbowe kuliko sisi. Tuwape imani. Watatuwakilisha vyema. Atakayeshindwa asikiame chama
 
Wajumbe wa mkutano mkuu wanamjua Lissu na Mbowe kuliko sisi. Tuwape imani. Watatuwakilisha vyema. Atakayeshindwa asikiame chama
Tumepewa akili ya kuona na kudadavua na ndio maana tuko kwenye jukwaa hili tukijadili, hao tu wenye kupiga kura ndio wanamjua? Hawana ndugu jamaa na marafiki wanaowajua zaidi?

Soare me the madness kalale tuache tujadili
 
Mchezo umeishia hapo
 
Wajumbe wa mkutano mkuu wanamjua Lissu na Mbowe kuliko sisi. Tuwape imani. Watatuwakilisha vyema. Atakayeshindwa asikiame chama
Kama ikitokea Mbowe akashinda naomba kwenye maskio yangu nisiskie swala la ccm kuiba kura na mambo ya vyama nitakua sitaki tena kwenye maisha yangu yaliobakia hapa kwenye sayari ya Dunia.
 
BAKWATA sio dhehebu ndani ya Dini ya KIISLAM, Bali ni baraza kuu la waislam Tanzania.
Nadhani utakuwa umepata maana hapa kiongozi.

Hallelujah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…