Mbowe havunji katiba ya chama chao. Chama pia kilitoa nafasi, anayetaka na agombee. Wamegombea.Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe amesema siku Moja kabla hajatoka Gerezani maaskofu Watatu na Mufti walimfuata na kumwambia Serikali haitaki kuendelea na KESI yake na Rais Samia ameomba akutane naye
Mbowe anahoji YEYE kama Mbowe angekataaje?
Jumaa Mubarak 😂
Hadi sasa sijasikia mtu akilalamikia mchakato. Wamechukua na kurudisha fomu salama. Kamati kuu ituletee majina ya wagombea.
Wajumbe wapige kura. Watakaoshindwa, washindwe kwa haki. Demokrasia itendeke.
Ila namuona Lissu akikiama hiki chama. Nadhani amekosea muda wa kugombea hiyo nafasi.