Hizi ni propaganda za Lissu.Mbona alipoulizwa na akina Lissu kuwa wameongea nini huko Ikulu? Mbowe akawajibu kuwa sio kila anachoongea na Rais lazima awaambie mengine ni SIRI yake na Samia.
Huyu Mwenyekiti anatuficha nini kama sio kupewa RUSHWA.π€
Abduli ana Guts gani kuja kuwahonga RUSHWA Viongozi wetu wa CHADEMA bila hata ya hofu?
Ukristo bila msalaba ni upepo,hivi umewahi kuona msalaba katika makanisa ya Wasabato.Mimi Niko CCT nakwambia Wasabato waliomba kujiunga na wamekubaliwa
Siko kubishana π
Mufti Tanzania ni mmoja tu.Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Ninachojua Mseminari wa Kikatoliki shujaa Magufuli akiwa kavaa Rozali aliwapelekea Tani 100 za Cement Kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa kubwa pale Magomeni mwembechai πUkristo bila msalaba ni upepo,hivi umewahi kuona msalaba katika makanisa ya Wasabato.
Mbona yeye Mbowe alipotoka kuongea na Samia hakutuambia sisi Watanzania kuwa wameongea nini lakini Lissu alipoongea na Samia huko Belgium saa hiyo hiyo alipanda hewani na kutuambia waliyoyasema.Hizi ni propaganda za Lissu.
Na kwanini haukuwa weweKwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Mimi ningekuwa askofu peke yangu ningetosha kabisaa sio kundi kubwa kama tu nakwenda kuongea na wapiga kuraNa kwanini haukuwa wewe
Huyo mufti ni wa Bakwata, waislamu ni wengi hawana uhusiano na bakwata lakini wamewakilishwa na mufti wa bakwata huyo huyo, hata hao maaskofu mmoja alitosha maana wote ni wafuasi wa Yesu mmoja, kwenda wengi hivyo kuna shida mahaliMufti Tanzania ni mmoja tu.
Maaskofu wapo wa
Roman Carholic
Anglicana
KKKT nk
Huenda walikwenda watatu kwa uwakilishi wa madhehebu yao. Na Muft alikua peke yake kwa kuwa hakuna mtu mwingine Nchini mwenye cheo cha Muft hapa Nchini.
Kuna mufti wangapi tanganyika?Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Sio kweliTanzania bila kuwa na uhusiano na Mufti na maaskofu hao watatu huwezi kamata Dola ndio maana Lowassa na lisu walipogombea uraisi walishindwa
Walikuwa wakizurura na sheikh Katimba na Askofu mwamakula ambao si lolote wala chochote kwenye nchi hii kuamua nani ashike dola
Lisu anapoteza muda wake tu na kufurahisha genge tu hawezi kumshinda Mbowe mtoa ushirikiano kwa Mufti na maaskofu watatu
Yule mufti wa Bakwata sio Tanganyika, anawakilisha hata wasio mtambua na maisha yanakwendaKuna mufti wangapi tanganyika?
Labda hujulikani kwenye myororo wa thamani, mimi najukikana ila sitaki kujipendekeza, ninakula jeuri yangu hahaha πMimi ningekuwa askofu peke yangu ningetosha kabisaa sio kundi kubwa kama tu nakwenda kuongea na wapiga kura
Inakujua familia yako tu, ndio maana unakuja kutudanganya humu unajulikanaLabda hujulikani kwenye myororo wa thamani, mimi najukikana ila sitaki kujipendekeza
Nikweli sijulikani na siko tayari kujipendekeza, In reality though am not in competition with u, am always at low profile, in life do not speak ill of others or insult them it can back fire π₯Inakujua familia yako tu, ndio maana unakuja kutudanganya humu unajulikana
Hakuna kitu kama hiki, hizi zama za ukweli na uwazi , tunashindwa kuendelea kwa kauli kama hizi zako, ukweli na uongo vyote vinatakiwa kuwa waziIn reality though am not in competition with u, am at low profile, in life do not speak ill of others or insult them it can back fire π₯
Soma nakuelewa nilicho andika, kauli vs maendeleo?Hakuna kitu kama hiki, hizi zama za ukweli na uwazi , tunashindwa kuendelea kwa kauli kama hizi zako