Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Hizi ni propaganda za Lissu.Mbona alipoulizwa na akina Lissu kuwa wameongea nini huko Ikulu? Mbowe akawajibu kuwa sio kila anachoongea na Rais lazima awaambie mengine ni SIRI yake na Samia.
Huyu Mwenyekiti anatuficha nini kama sio kupewa RUSHWA.🤔
Abduli ana Guts gani kuja kuwahonga RUSHWA Viongozi wetu wa CHADEMA bila hata ya hofu?