Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mbowe: Nilifuatwa na Maaskofu Watatu na Mufti Gerezani, wakaniambia Serikali inataka kufuta KESI Yako Rais ameomba aonane na Wewe. Mimi ningekataaje?

Mbona alipoulizwa na akina Lissu kuwa wameongea nini huko Ikulu? Mbowe akawajibu kuwa sio kila anachoongea na Rais lazima awaambie mengine ni SIRI yake na Samia.

Huyu Mwenyekiti anatuficha nini kama sio kupewa RUSHWA.🤔

Abduli ana Guts gani kuja kuwahonga RUSHWA Viongozi wetu wa CHADEMA bila hata ya hofu?
Hizi ni propaganda za Lissu.
 
Kwanini maaskofu wawe watatu na Mufti awe peke yake ?
Mufti Tanzania ni mmoja tu.
Maaskofu wapo wa
Roman Carholic
Anglicana
KKKT nk
Huenda walikwenda watatu kwa uwakilishi wa madhehebu yao. Na Muft alikua peke yake kwa kuwa hakuna mtu mwingine Nchini mwenye cheo cha Muft hapa Nchini.
 
Ulishindwa Nini kuwaambia wakusafishe. Mahakamani kuwa wewe sio Gaidi?

Ujinga ujinga tuu
 
Ukristo bila msalaba ni upepo,hivi umewahi kuona msalaba katika makanisa ya Wasabato.
Ninachojua Mseminari wa Kikatoliki shujaa Magufuli akiwa kavaa Rozali aliwapelekea Tani 100 za Cement Kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa kubwa pale Magomeni mwembechai 😂
 
Mufti Tanzania ni mmoja tu.
Maaskofu wapo wa
Roman Carholic
Anglicana
KKKT nk
Huenda walikwenda watatu kwa uwakilishi wa madhehebu yao. Na Muft alikua peke yake kwa kuwa hakuna mtu mwingine Nchini mwenye cheo cha Muft hapa Nchini.
Huyo mufti ni wa Bakwata, waislamu ni wengi hawana uhusiano na bakwata lakini wamewakilishwa na mufti wa bakwata huyo huyo, hata hao maaskofu mmoja alitosha maana wote ni wafuasi wa Yesu mmoja, kwenda wengi hivyo kuna shida mahali
 
Tanzania bila kuwa na uhusiano na Mufti na maaskofu hao watatu huwezi kamata Dola ndio maana Lowassa na lisu walipogombea uraisi walishindwa

Walikuwa wakizurura na sheikh Katimba na Askofu mwamakula ambao si lolote wala chochote kwenye nchi hii kuamua nani ashike dola

Lisu anapoteza muda wake tu na kufurahisha genge tu hawezi kumshinda Mbowe mtoa ushirikiano kwa Mufti na maaskofu watatu
Sio kweli
 
Mimi ningekuwa askofu peke yangu ningetosha kabisaa sio kundi kubwa kama tu nakwenda kuongea na wapiga kura
Labda hujulikani kwenye myororo wa thamani, mimi najukikana ila sitaki kujipendekeza, ninakula jeuri yangu hahaha 😂
 
Inakujua familia yako tu, ndio maana unakuja kutudanganya humu unajulikana
Nikweli sijulikani na siko tayari kujipendekeza, In reality though am not in competition with u, am always at low profile, in life do not speak ill of others or insult them it can back fire 🔥
 
In reality though am not in competition with u, am at low profile, in life do not speak ill of others or insult them it can back fire 🔥
Hakuna kitu kama hiki, hizi zama za ukweli na uwazi , tunashindwa kuendelea kwa kauli kama hizi zako, ukweli na uongo vyote vinatakiwa kuwa wazi
 
Back
Top Bottom