Mbowe: Niliona John Heche anapotea kisiasa, nikamteua Mjumbe wa Kamati Kuu

Unausungo wewe
 
Halafu kitu kibaya zaidi wafuasi wake wanasema Heche kaongea vizuri sana kwa kumuheshimisha yeye MWAMBA, lakini MWAMBA Mwenyewe anasema HECHE anamtukana.
Huyu Mzee kawehuka!

Anacheza michezo ambayo ya kijinga na anadhani ataonekana smart kumbe ni kuwehuka.

Kila ninapomsikiliza naona anaongea ujinga.

Kila anachoongea kisha nikimsikiliza na Lissu anachokiongea, huyu Mzee ni muongo!

Na ndiyo maana kakimbia mdahalo!
 
Hizo hoja mbona hakuzipeleka kwenye mdaharo.
Aache unafiki wa kiccm
 
Hizi hoja mbona hakuzipeleka kwenye mdaharo?
Mbowe anapenda umbea ndio maana anaogopa midaharo.
 
Mbowe na watu wa CCM hawana utofauti, nimeelewa sasa kwa nini Wana CCM huwa wanasema wanatukanwa na vyama vya upinzani.
 
Kambi ya Mbowe mbona maharage yarukaruka sana juu ya sufuria la moto kwenye jiko lililokolea moto mkali?.
 
Mbowe kutoka kuwa mwamba hadi kuwa malkia wa mipasho !! So sad.
 
Duuuh!!! Jamaaa Kila kukicha sera yake ni namna alivyowasaidia wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hiki Cha uchaguzi.
 


..Mbowe angekuwa pro-active namna hii wakati wa maridhiano, chama kisingetumbukia ktk matatizo waliyonayo.

..pia wakati umefika kwa yeye kama mgombea kuunga mkono mabadiliko yote aliyoyapendekeza Tundu Lissu.

..Tundu Lissu anaweza kuwa wrong katika uwasilishaji wa hoja zake, lakini hajakosea ktk uhalali wa hoja hizo.

..Jambo lingine ni kuacha mizengwe. Kuna malalamiko mengi ya Mbowe kuumiza wenzake. Suala hili limejirudia sana, Mbowe ajirekebishe.
 
Huyo lisu nae alikua apotezwe kwenye siasa za chadema, Mungu saidia akastuka, ndio yate haya yakatokea. Hata la Wenje na Abdu alikua haliweki wazi. Alopostukia sinema anayoletewa akacharuka.
 
Alimuhonga Ujumbe wa kamati Kuu 🐼
Kwahiyo Lowassa,Sumaye na Kingunge walihongwa.
Sijui kwanini unapenda kujizima data.
Mwenyekiti wa CDM ana nafasi sita za uteuzi wajumbe wa Kamati kuu.
Huko CCM mwenyekiti anateua Makamu mwenyekiti,Katibu mkuu,wajumbe wa kamati kifupi huko hakuna uchaguzi ni mwendo wa kuteuana tu.
 
Hilo kundi bila kuvuta bangi na kunywa ulanzi unatengwa.
 
Huyu John Heche au Wegesa Charles ni mhuni tu. Nimesoma nae SAUT (EDUCHE) 2006/2009 namjua na sio mtu wa kuamini hata kidogo.
 
Kama Heche alishindwa huko Kanda sasa YEYE kumteua Kamati Kuu ndio aanze kumsimanga?
Mbowe ni Dini gani kwani? 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…