Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Watalala na viatu tena.

Moto wa Katiba Mpya utaanzia pale tulipoishia.
 
Mwamba huyu hajawahi kutuangusha watanzania
 
Ujumbe umekamilika.
 
Wanaopinga hili ni Sukuma Gang tu
 
A word
 
Alishaingiza mkenge watu tushukuru kamati kuu ilikua imara Tundu lisu shikamooo huko uliko
 
Kweli kabisa kwa matusi hawawezekani,
Kuna mmoja humu kanitukania mama yangu aliyeko kaburini kisa tu mbowe gaidi
Ajaaaabu kweli kweli,
Namuheshimu mama aliyemzaa siwezi kumtukana na pia nimemsamehe

Msamehe tu ndugu yangu.

Chama cha kikanda hicho,,wao kila kitu ubabe tu. Kwanza nawashangaa sana baadhi ya makabila hapa nchini wamewezaje kujiunga na kuisapoti chadema!!! Hivi kweli mtu na akili zake timamu anajiunga na chama hicho kilichosheheni wafuac wao. Acha ccm iendelee kutawala, na mama tunamuombea kheri ikiwezekana hata 30 years ahead sawa tuu.
 
nawaahidi chadema hamtaishinda ccm milele ila mtaishinda kwenye tweeter na mitandaoni hapo nawasifu mnajua matusi na hasa mkiisha kunywa mbege mnafungua mitandao na kuanza kutukana tu hongreni sana nyumbu mmeshinda

Bahati nzuri wewe sio Mungu, Ni binadamu wa kawaida ambaye kesho unaweza usiwepo. Kiburi Cha kusema milele unakitolea wapi?. Huna ubavu wa kudetermine future ya chadema hata kidogo. Pole Sana.
 
Hakuna wa kuiondoa ccm miaka mia ijayo

CCM gani?. Hii inayozima mtandao wa internet kipindi Cha uchaguzi. Acha utani. Halafu wewe sio Mungu, Ni binadamu wa kawaida ambaye huu mwaka unaweza usimalize. Kwa hivyo kauli yako haisumbui.
 
Kweli kabisa kwa matusi hawawezekani,
Kuna mmoja humu kanitukania mama yangu aliyeko kaburini kisa tu mbowe gaidi
Ajaaaabu kweli kweli,
Namuheshimu mama aliyemzaa siwezi kumtukana na pia nimemsamehe

Wewe naye mchokozi unamwitaje mzazi wa mtu Gaidi, wakati Tanzania hakuna ugaidi. Usimtendee mwingine Jambo ambalo hutaki utendewe. Kwanza wewe huna heshima, umemtukana mzazi wa mtu kwa hila ndani yako.
 
Acha ukabila. Mmerudia Tena Mambo ya kutawala milele. Sema Mungu akipenda maana naye ana ratiba zake.
 
Wewe naye mchokozi unamwitaje mzazi wa mtu Gaidi, wakati Tanzania hakuna ugaidi. Usimtendee mwingine Jambo ambalo hutaki utendewe. Kwanza wewe huna heshima, umemtukana mzazi wa mtu kwa hila ndani yako.
Ni wewe unasema hakuna ugaidi, lakini wazungu wenzako wanaita kila asiye mzungu gaidi, sasa kapatikana mzungu mmoja gaidi basi kila mzungu kaja juu kumtetea gaidi,
Wazungu bwana muna visa kweli kweli
Halafu mbona kama wewe ndio huna heshima?
Hivi utukaniwe mama yako utakubali kweli?!
 
CCM gani?. Hii inayozima mtandao wa internet kipindi Cha uchaguzi. Acha utani. Halafu wewe sio Mungu, Ni binadamu wa kawaida ambaye huu mwaka unaweza usimalize. Kwa hivyo kauli yako haisumbui.
Huu ndio ukweli mchungu,
Ccm imejiimarisha sana, upinzani wote ni wababaishaji, na wengine pia ni ccm hasa, mimi ni mpinzani ninaejielewa, sio lazima niwe ccm kusema ukweli,
Hata wewe pia unaweza usimalize leo yenyewe tu wacha mwaka mzima, kufa ni amri ya ALLAH, hakuna anayeweza kudhuru wala kunufaisha ila kwa amri ya mungu full stop,
Lakini ukweli utabaki ukweli tu ccm kutoka madarakani labda itake yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…