Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Hivi hili Taifa litaendelea kuongozwa na Mapaka hadi lini?!
Your browser is not able to display this video.
 
Acha ukabila. Mmerudia Tena Mambo ya kutawala milele. Sema Mungu akipenda maana naye ana ratiba zake.

Hakuna mwenye gerentii na Mungu kama atatawala milele, iwe mtu ama chama. Si ajabu miaka ya baadae ACT au CUF moja wapo ikatawala,,na chadema ikafutika maana hata huko kaskazini kwenyewe sio wote wanaipenda.

Olenimala nkoi, tolehoi usukumani
 
Mwambieni Mbowe kuwa asitake amani wakati wa vita atakufa mapema.

Hajui upande wa pili wanamuwazia nini? Asidhani wanamchekea ohoooo!
 
Punguza upunguani mbowe nimfanyabiashara mkubwa afrika masharika nakati niwatu wawili tu wanaosafirisha mazao ya mbogamboga ulaya na Dubai ambao ni mwenyekiti wa chadema mbowe na rais wa jamhuri yawatu wakenya Uhuru Kenyatta ....kwahyo kumwona Dubai au ulaya nikawaida tu
 
Dharau zenu hizi kisa CCM zinawafanya mjione mko juu kuliko kila mtu. Wewe unamjua Mbowe leo?. Mwaka 1999 Mbowe alikuwa mmoja wa wadhamini wa shindano la miss Tanzania.
Hata maji marefu alifanya hivyo
 
Taarifa hii imefikia siro, kingai mahita jumanne gudlack pale unapombambika mtu kesi then anashinda sijui aibu wanaweka wapi
MBOWE
  1. kakamatwa
  2. kashitakiwa'kapatikana na kesi ya kujibu kwa mjibu wa ushahidi wa uhakika uliotolwa
  3. DDP kwa mjibu wa katiba makini ya mwaka 1977 kaamua kuiondoa kesi mahakamani
  4. kuondolewa kwa kesi kuna mfanya mbowe akose nafasi ya kujibu kesi
  5. kwa ujinga na mawakili wake na wafuasi waje wanashangilia kuwa wameshinda kesi
  6. hata hivyo wanasema kesi waliyoshinda haikluwa mahakamani ilikuwa kwenye mitandao
kitikio
Mbowe ni gaidi mpaka atakapo jibu kwa ushahidi kesi yake X 5
 
Serikali ilishindwa kesi baada ya kukurupuka ukimbilia kuifuta Ili kuhadaa wenye akili ndogo eti haina nia ya kuendelea na kesi, kama haina nia kwann mnafungua kesi.
Rejea kesi za kubumba za wazee wa uhamsho, wazee wa escrow ni uonevu mtupu. Kesi ya kubumba hata mtu akae mahabusu miaka 200 huwezi pata ushahidi.
 
unataka malumbano endelea lakini ukweli ni kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu na atajibu hapa au mbinguni- ni GAIDI TU
 
unataka malumbano endelea lakini ukweli ni kuwa Mbowe ana kesi ya kujibu na atajibu hapa au mbinguni- ni GAIDI TU
Aaah wapi.
Kwa kesi za kubumba ,Mungu atamlinda
 
Mbowe hafai kusikilizwa, alitoka jela akakimbilia Ikulu kwa mtesi wake, ni dhahiri amekiuza chadema kw bei chee kabisa sasa anapiga kelele kwa hawa wanaomsikiliza lakini biashara imeshafanyika, mimi hanizugo mtu, Mbowe sio tena kiongozi wa upinzani miezi 8 jela imemtosha kuuza chama chake ili awe huru

Tanzania bado tunahitani kukombolewa toka kwenye makucha ya ccm iliyokubuhu madarakani, Lissu alifanya udalali tokea belgium, chadema hawakuwa na tabia ya kumfuata rais ikulu lakini sasa ni wazi wame-sarrender, wameshindwa vita, huwezi kuuza imani uliyopewa na wananchi kwa miezi 8 uliyokaa jela na ku-sarrender
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…