Mbowe: Nimetoka Gerezani kwa moyo mweupe. Katiba ni ajenda yetu, Sisi sio magaidi

Labda baba wa Rau Madukani!
Umejiita jina zuri lakini haya majibu yako hayaakisi hili jina. Nakusoma sana na nimegundua unapenda Neno lakini shida yako ni kumtumikia kafiri na kusahau shauku ya moyo wako. Hebu soma Wagalatia sura ya tano yote.
 
Skuwa na chama ila nawahakikishia chagMaa wakitulia na kuacha kufata mambo ya maccm na haya mambo ya sukuma Gang nina imani kufikia uchaguzi watakuwa na wanachama lukuki pengine kurudi kwenye chart...


Samia kachokwa mitaani siyo siri kwa hili.
 
Nilikua sana nasubiri hizi kauli za kimsimamo
Lets keep watching the game
 
Usimdhalilishe bi mkubwa.
Lini ukasikia anatoa rushwa ?!
 
Leo ndio nimepata ukweli.

Maana yule mgombea wa Geita mjini alipata kura nyingi Sana.

Hadi nikashangaa imekuwaje Geita CHADEMA ipate kura nyingi?

. Wizi wa kura Ni mbaya.
Upendo alimshinda Constantine mbali sana. Ila maelekezo ya mtaka yote kwa pupa yaliharibu sana
 
Jaribu kwenda kuongea wewe kama utapata hata wa kukusikiliza
 
Hotuba safi kabisa people's power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…