Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

-Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.
View attachment 1439214
Ulishazungumza inatosha. waliosikia na wasikie wabishi waach, msiseme hamkuambiwa, watu weusi tuna tabia ya kudharau maisha yetu

angalia US wanaokufa 70 percent blacks
 
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
Mbowe ni shujaa
 
Kila nisomapo maoni yahusuyo nchi na mustakabali wake kwa kuzingatia yanayojiri naishia kujiuliza:"kizazi gani tunalea na kukuza kisicho na uwezo wa kupembua vitu vya wazi kama hivi na kuishia kupayuka payuka tu??
 
Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe tunasubiri neno toka kwako baada ya Spika Job Ndugai wa Bunge la Tanzania na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli wote kutoa maoni yao yaliyozua maswali mengi kwa waTanzania kuhusu taifa na kimataifa (vipimo vya coronavirus).
 
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

binafsi katika kipindi hiki, nataka sana jiwe akurupuke kutoa amri ya kumkamata mbowe au kumdhuru ili domino effect ichukue nafasi yake. sidhani kama umenielewa.
 
Mbowe ni mshamba asiyejua kuwa tuko vitani anataka kurudisha majeshi nyuma eeh?

Mbowe ameongea Mara ya kwanza akaachwa akafikiri kuwa ameshinda eeh?

Mnaomshauri mwambieni asithubutu kuleta za kuleta ama zake!

Tunatakiwa kuusikiliza mfumo tu na dola tu kwa ss na si vinginevyo

Wakati wa vita ni huu hajui kwamba Rais ametangaza state of emergency isiyotia hofu wananchi?

Mbowe ukiwa na mawazo mpigie simu Rais tunatakiwa kusikia sauti moja tu kwa ss ya Amri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama

Mbowe wala usithubutu kabisa kuleta upumbavu wako
 
Yaani ww ni mbunge usije kuthubutu kuichezea nchi mmeleta dharau toka muda mrefu

Naona mnataka kuvuka msitari mwekundu

Tegemea the same reaction kuja endapo mkiichokoza dola

Kumbuka huu si wakati wa kucheka Cheka

Huu si wakati wa siasa tunataka kumsikikiza mkuu anasemaje

Ww ni mbunge tu na ubunge wako unakoma mwezi juni
Baada ya mwezi juni utakuwa kama Hashimu Rungwe
 
Back
Top Bottom