Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake
Unatia aibu kwa faida ya nani ? Mbowe hajakataza ushirikina wenu wa kujifukizaMwez 11 tutakua na KUB mpya bungeni, mwenye constructive criticism, maono, busara na mpenda maendeleo. Sio huyu wa sasa yeye kwake ni pesa na ndogo ndogo. Udikteta kwenda mbele, vitu vingine anaamua sebuleni na mke wake ndo vinakua msimamo wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe kapuku wa kulipwa elfu 7 kwa wiki ndio wa kumtisha Mbowe ?Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake
Bilionea Mbowe hawezi kubabaishwa na posho za kijnga kama hizoHili la kukatwa posho kwa wana SAKOSI bila shaka limemgusa mangisina huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo aliyesema nikaugonjwa kadogo anejichimbia chato mbona hawi mstari wa mbele wa mambano. Kama haijamkamata hii Corona au ndugai bado hamtaamini kama hili jambo silakisiasa.Mbowe ni mshamba asiyejua kuwa tuko vitani anataka kurudisha majeshi nyuma eeh?
Mbowe ameongea Mara ya kwanza akaachwa akafikiri kuwa ameshinda eeh?
Mnaomshauri mwambieni asithubutu kuleta za kuleta ama zake!
Tunatakiwa kuusikiliza mfumo tu na dola tu kwa ss na si vinginevyo
Wakati wa vita ni huu hajui kwamba Rais ametangaza state of emergency isiyotia hofu wananchi?
Mbowe ukiwa na mawazo mpigie simu Rais tunatakiwa kusikia sauti moja tu kwa ss ya Amri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama
Mbowe wala usithubutu kabisa kuleta upumbavu wako
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
eri kwa nyie msio na njaa na kuamua kuwafanya raia uwanja wa mapambano.“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
Yaani ww ni mbunge usije kuthubutu kuichezea nchi mmeleta dharau toka muda mrefu
Naona mnataka kuvuka msitari mwekundu
Tegemea the same reaction kuja endapo mkiichokoza dola
Kumbuka huu si wakati wa kucheka Cheka
Huu si wakati wa siasa tunataka kumsikikiza mkuu anasemaje
Ww ni mbunge tu na ubunge wako unakoma mwezi juni
Baada ya mwezi juni utakuwa kama Hashimu Rungwe
NDIo amekimbia kujificha chatonani amekuambia mheshimiwa kakimbia? ubongo wako unahitilafu
Kupanga ni kuchagua!eri kwa nyie msio na njaa na kuamua kuwafanya raia uwanja wa mapambano.
Kwa tulio na njaa - tukikakaa ndani tutakufa kwa njaa na pia tukitoka nje pia bado tuko kwenye atari ya kupata maambukizi (sasa bora usubiri kifo ndani au ufe ukiwa vitani?)
Mkuu si ndio uyo amesema kapima mafenesi?!Yaani ww ni mbunge usije kuthubutu kuichezea nchi mmeleta dharau toka muda mrefu
Naona mnataka kuvuka msitari mwekundu
Tegemea the same reaction kuja endapo mkiichokoza dola
Kumbuka huu si wakati wa kucheka Cheka
Huu si wakati wa siasa tunataka kumsikikiza mkuu anasemaje
Ww ni mbunge tu na ubunge wako unakoma mwezi juni
Baada ya mwezi juni utakuwa kama Hashimu Rungwe
Sasa si anaongea kama Mbunge. Tatizo liko wapi wewe mbwiga?Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake
Umefanya vizuri kuweka na maandiko. Mungu huwa nasi kwenye shida na raha, hivyo tusimsahau hata wakati wa raha piaMaandiko yanasema "Auaye kwa upanga atauwa kwa upanga". Kuna watu kwa makusudi ama misimamo yao wanasimamia dude liteketeze raia kwa kuyapa nguvu na kibali matendo na mazoea yaletayo kuteketea kupitia dude. Wao wako makini kuliepuka dude kiaina yaani.
Sasa basi saa yaja ktk njia wasiyoijua watakuta dude limetua sebuleni limekunja nne na tabasamu nene!! Hapo ndipo thamani ya UTU itakapojulikana pasipo kujali cheo wala kipato cha mtu.
Siombei mtu awaye yote mabaya maana Maandiko yananiasa kuwa "Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani" na kisasi ni cha Mungu. ILA tunajikumbusha maandiko yasemavyo, maana ktk maandiko kuna ujumbe wa Mungu kwa wanadamu.
Aliyefilisika Kisiasa mngemtungia nyimbo za Taarabu Kila uchao? Hata jiwe kamwimbia Taarabu jana kule Chato. Akili za maCCM mnazijua wenyewe.Mbowe amefilisika kisiasa
Akileta utani tutamahitaki umoja wa mataifa wanakomtumia
Aliyefilisika Kisiasa mngemtungia nyimbo za Taarabu Kila uchao? Hata jiwe kamwimbia Taarabu jana kule Chato. Akili za maCCM mnazijua wenyewe.Mbowe amefilisika kisiasa
Akileta utani tutamahitaki umoja wa mataifa wanakomtumia
Ndege tayari imeshaleta Dawa za Covid19 kutoka Madagascar?Mbowe ni mshamba asiyejua kuwa tuko vitani anataka kurudisha majeshi nyuma eeh?
Mbowe ameongea Mara ya kwanza akaachwa akafikiri kuwa ameshinda eeh?
Mnaomshauri mwambieni asithubutu kuleta za kuleta ama zake!
Tunatakiwa kuusikiliza mfumo tu na dola tu kwa ss na si vinginevyo
Wakati wa vita ni huu hajui kwamba Rais ametangaza state of emergency isiyotia hofu wananchi?
Mbowe ukiwa na mawazo mpigie simu Rais tunatakiwa kusikia sauti moja tu kwa ss ya Amri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama
Mbowe wala usithubutu kabisa kuleta upumbavu wako
Teuzi za JPM zimekuwa zikizingatia watu mwenye akili za hovyo kiasi hiki! Kwa sasa Tz limekuwa kamaTaifa la mahayawani!Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake