Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Angekuwa na jina la Oman usinge sema kitu wewe mbaguzi wa dini
In God we Trust
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Mbowe wewe ni mnafiki na unalijua hilo au nifungue lile file? Utaaibika kaka, hoja za wanaume hazijibiwi kivulana
Taifa la ufipa
Bibi upo atahutubia Taifa live unateseka?
nani amekuambia mheshimiwa kakimbia? ubongo wako unahitilafu
Azungumze na taifa gani[emoji23][emoji23][emoji23]
Taifa la Moshi[emoji23][emoji23]
Magu kawakata kooni
Mbowe amefilisika kisiasa
Akileta utani tutamahitaki umoja wa mataifa wanakomtumia
wenye akili wamemstukia kitambo
Chezeya njaa kuanxzia 2015 mwishoni ulijidai kususa Lumumba eti kuna wagalatia, njaa ilipozidi ukajisalimisha kwenye praise and worship team
Police imkamate huyu mtu anahatarisha Amani
Hivi mbowe anatafuta nini,ameongea majuzi,akadai wanaweza kumkamata,lakini hakuna aliyehangaika naye. Sasa amekuja na gia nyingine,anataka ligi na Magu,haaahaa,... Mbowe acha kumchezea Rais,huyo siyo Dr Slaa.
Mwez 11 tutakua na KUB mpya bungeni, mwenye constructive criticism, maono, busara na mpenda maendeleo. Sio huyu wa sasa yeye kwake ni pesa na ndogo ndogo. Udikteta kwenda mbele, vitu vingine anaamua sebuleni na mke wake ndo vinakua msimamo wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe tunasubiri neno toka kwako baada ya Spika Job Ndugai wa Bunge la Tanzania na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli wote kutoa maoni yao yaliyozua maswali mengi kwa waTanzania kuhusu taifa na kimataifa (vipimo vya coronavirus).
Mbowe ni mshamba asiyejua kuwa tuko vitani anataka kurudisha majeshi nyuma eeh?
Mbowe ameongea Mara ya kwanza akaachwa akafikiri kuwa ameshinda eeh?
Mnaomshauri mwambieni asithubutu kuleta za kuleta ama zake!
Tunatakiwa kuusikiliza mfumo tu na dola tu kwa ss na si vinginevyo
Wakati wa vita ni huu hajui kwamba Rais ametangaza state of emergency isiyotia hofu wananchi?
Mbowe ukiwa na mawazo mpigie simu Rais tunatakiwa kusikia sauti moja tu kwa ss ya Amri jeshi mkuu wa majeshi ya Ulinzi na usalama
Mbowe wala usithubutu kabisa kuleta upumbavu wako
Yaani ww ni mbunge usije kuthubutu kuichezea nchi mmeleta dharau toka muda mrefu
Naona mnataka kuvuka msitari mwekundu
Tegemea the same reaction kuja endapo mkiichokoza dola
Kumbuka huu si wakati wa kucheka Cheka
Huu si wakati wa siasa tunataka kumsikikiza mkuu anasemaje
Ww ni mbunge tu na ubunge wako unakoma mwezi juni
Baada ya mwezi juni utakuwa kama Hashimu Rungwe
Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake
Kwani taifa ni nn?Azungumze na taifa gani😂😂😂
Taifa la Moshi😂😂
Magu kawakata kooni
Hili la kukatwa posho kwa wana SAKOSI bila shaka limemgusa mangisina huyu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi CCM damudamu, Ila habari ndio hiyo!!