Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Mbowe ndiye Rais wa Ukweli wengine makapi
Unafahamu kuwa kati ya wagombea Urais Tanzania, mgombea aliyebwagwa Kwa kura nyingi zaidi alikuwa Mbowe alipogombea?

Unajuwa alibwagwa na Kikwete kwa asilimia ngapi?

Mbowe ana rekodi ya Tanzania kwa kuwa ni mgombea aliyepata kura kidogo zaidi, haitavunjwa hiyo.
 
Tatizo la watu wanaomchafua Rais wanadhani Rais Yuko peke yake...hawajui kuwa nyuma yake kuna millions of people wanaomuunga mkono...
Rais zaidi ya kuhonga na kulazimisha haungwi mkono hata na watu 1M . Hapendwi kokote kule zaidi ya Mataga na lumumba fc. Ndio maana anafura kutafuta watu kwa mapolisi
 
Hivi ni nani aliyewaita wapinzani Manyumbu? I think hili lilikuwa linawafaa sana wanaccm maana hata kama yanaina kiongozi wao anatumbukia shimoni yenyewe yanafata tu huku yakimpongeza kutafta teuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama itampendeza Mungu ni heri akaongea maana ile ya jana ilikuwa kwa matakwa ya shetani na hakika iliwapendeza walio wake!
 
H
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

View attachment 1439248
Hawa ni watu wa ajabu sana wana AWOL[Absent Without Official Leave] vikao vya bunge kwa makusudi halafu wanatarajia mishahara? Ningewaelewa vizuri kama wangekuwa kwenye majimbo yao wakisaidiana na wataalam kuhusu janga hili.
 
Unafahamu kuwa kati ya wagombea Urais Tanzania, mgombea aliyebwagwa Kwa kura nyingi zaidi alikuwa Mbowe alipogombea?

Unajuwa alibwagwa na Kikwete kwa asilimia ngapi?

Mbowe ana rekodi ya Tanzania kwa kuwa ni mgombea aliyepata kura kidogo zaidi, haitavunjwa hiyo.
Kwa mjibu wa elimu yake Mbowe, haruhusiwi kikatiba hata kuchukua fomu tu ya kugombea Uraisi achilia mbali kuwa mgombea wa Uraisi, Chama chake wanajua na wapenzi wakereketwa wa Chama pia wanajua
 
Mbowe anatoa alternate mawazo na voice, na niseme ukweli kuwa yuko much more realistic then wenye viapo, majeshi, askari nk.nk. ndio maana tunalillia democrasia
 
Unafahamu kuwa kati ya wagombea Urais Tanzania, mgombea aliyebwagwa Kwa kura nyingi zaidi alikuwa Mbowe alipogombea?

Unajuwa alibwagwa na Kikwete kwa asilimia ngapi?

Mbowe ana rekodi ya Tanzania kwa kuwa ni mgombea aliyepata kura kidogo zaidi, haitavunjwa hiyo.

Yani alipata kidogo kiasi cha kuwashinda wagombea wa vyama vingine kama vile DOVUTWA?

Are you seriously @ Madam?

Chuki humuumiza mwenye kuibeba!

Hizo spirits za Udini na Ukabila hazitawasaidia!

Bora kuchagua Upendo kuliko chuki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ndiye Rais wa Ukweli wengine makapi
Labda Rais wa Wasafi ila kwa Urais wa Tanzania lazima awe msomi mwenye digrii sasa huyo Mbowe alofeli shule inakuwa ngumu. Nadhani Chadema ndo Chama pekee Duniani kinachoongozwa na Mwenyekiti mbumbumbu ee
 
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

View attachment 1439248
Si alisema yeye na Wabunge wengine wa Chadema watajipa self isolation ya siku 14, hilo Taifa ataongea nalo kwa njia gani? Halafu asituchoshe kwa kupambana na Rais wa nchi ambaye hana uwezo wa kumshinda. Kimasingi hata kama Rais asingetamka, isingewezekana Mbowe na genge lake walipwe posho za vikao vya Bunge wakati hawahudhurii vikao vya Bunge.
 
JPM Sasa ni wa kimataifa hoja zake zinagonga vichwa vya habari dunia nzima

Hawa matapeli Chadema wanyamaze hatutakubali waendeleze usaliti wao

Baada ya vita hii Sacco's ifutwe kabisa wamesaliti Taifa katika ya vita
 
Back
Top Bottom