Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,281
Bibi upo atahutubia Taifa live unateseka?
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Anasema corona haitishi wakati yeye amekimbia
Ulishazungumza inatosha. waliosikia na wasikie wabishi waach, msiseme hamkuambiwa, watu weusi tuna tabia ya kudharau maisha yetu-Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.
View attachment 1439214
wenye akili wamemstukia kitamboIla jamaa sio mtu mzuri. Anasema corona haitishi wakati yeye amekimbia.
Chezeya njaa kuanxzia 2015 mwishoni ulijidai kususa Lumumba eti kuna wagalatia, njaa ilipozidi ukajisalimisha kwenye praise and worship teamHahahahaha
Ati Mbowe anazungumza na Taifa!
Ila bado kuna misukule inaimba mapambio tu.wenye akili wamemstukia kitambo
Mbowe ni shujaa“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
Wanaopukutisha watu kwa corona hawahatarishi amani ?Police imkamate huyu mtu anahatarisha Amani
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.