Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Unatia aibu kwa faida ya nani ? Mbowe hajakataza ushirikina wenu wa kujifukiza
 
Huyo aliyesema nikaugonjwa kadogo anejichimbia chato mbona hawi mstari wa mbele wa mambano. Kama haijamkamata hii Corona au ndugai bado hamtaamini kama hili jambo silakisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eri kwa nyie msio na njaa na kuamua kuwafanya raia uwanja wa mapambano.

Kwa tulio na njaa - tukikakaa ndani tutakufa kwa njaa na pia tukitoka nje pia bado tuko kwenye atari ya kupata maambukizi (sasa bora usubiri kifo ndani au ufe ukiwa vitani?)
 

Maandiko yanasema "Auaye kwa upanga atauwa kwa upanga". Kuna watu kwa makusudi ama misimamo yao wanasimamia dude liteketeze raia kwa kuyapa nguvu na kibali matendo na mazoea yaletayo kuteketea kupitia dude. Wao wako makini kuliepuka dude kiaina yaani.

Sasa basi saa yaja ktk njia wasiyoijua watakuta dude limetua sebuleni limekunja nne na tabasamu nene!! Hapo ndipo thamani ya UTU itakapojulikana pasipo kujali cheo wala kipato cha mtu.

Siombei mtu awaye yote mabaya maana Maandiko yananiasa kuwa "Wabarikini wanaowaudhi; barikini, wala msilaani" na kisasi ni cha Mungu. ILA tunajikumbusha maandiko yasemavyo, maana ktk maandiko kuna ujumbe wa Mungu kwa wanadamu.
 
eri kwa nyie msio na njaa na kuamua kuwafanya raia uwanja wa mapambano.

Kwa tulio na njaa - tukikakaa ndani tutakufa kwa njaa na pia tukitoka nje pia bado tuko kwenye atari ya kupata maambukizi (sasa bora usubiri kifo ndani au ufe ukiwa vitani?)
Kupanga ni kuchagua!
 
Mkuu si ndio uyo amesema kapima mafenesi?!
Wenzetu Kenya wamekuja na mpango wa kupima watu zaidi ya 35000 kwa siku sisi tunakimbilia kupima matunda. Daah! Hii nchi ni kituko kweli
 
Umefanya vizuri kuweka na maandiko. Mungu huwa nasi kwenye shida na raha, hivyo tusimsahau hata wakati wa raha pia

The choice is yours!!!
 
Mbowe amefilisika kisiasa

Akileta utani tutamahitaki umoja wa mataifa wanakomtumia
Aliyefilisika Kisiasa mngemtungia nyimbo za Taarabu Kila uchao? Hata jiwe kamwimbia Taarabu jana kule Chato. Akili za maCCM mnazijua wenyewe.
 
Ndege tayari imeshaleta Dawa za Covid19 kutoka Madagascar?
 
Sio tu kumtisha asithubutu kabisaa na atatishika awamu hii yaani tuna Rais mmoja tu nchi hii na si vinginevyo kwa ss atatishika yy ni mbunge wa jimbo la Hai tu labda anajisahau sn hajui mipaka yake
Teuzi za JPM zimekuwa zikizingatia watu mwenye akili za hovyo kiasi hiki! Kwa sasa Tz limekuwa kamaTaifa la mahayawani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…