Unafahamu kuwa kati ya wagombea Urais Tanzania, mgombea aliyebwagwa Kwa kura nyingi zaidi alikuwa Mbowe alipogombea?Mbowe ndiye Rais wa Ukweli wengine makapi
Hata mtaani kwake akihutubia hakuna anaekwenda kumsikiliza isipokuwa misukule tu.Bibi upo atahutubia Taifa live unateseka?
Duuh kweli wewe unachuki binafsi kukubalika kwa Mbowe hukuoni??Hata mtaani kwake akihutubia hakuna anaekwenda kumsikiliza isipokuwa misukule tu.
Ashukuru "social media" na waandishi wa vibahasha.
Rais zaidi ya kuhonga na kulazimisha haungwi mkono hata na watu 1M . Hapendwi kokote kule zaidi ya Mataga na lumumba fc. Ndio maana anafura kutafuta watu kwa mapolisiTatizo la watu wanaomchafua Rais wanadhani Rais Yuko peke yake...hawajui kuwa nyuma yake kuna millions of people wanaomuunga mkono...

Et au nifungue file pumbavu mkubwa wewe. Umekuwa mungu wewe kuwa na mafile ya watu?Mbowe wewe ni mnafiki na unalijua hilo au nifungue lile file? Utaaibika kaka, hoja za wanaume hazijibiwi kivulana
Hawa ni watu wa ajabu sana wana AWOL[Absent Without Official Leave] vikao vya bunge kwa makusudi halafu wanatarajia mishahara? Ningewaelewa vizuri kama wangekuwa kwenye majimbo yao wakisaidiana na wataalam kuhusu janga hili.“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
Kwa mjibu wa elimu yake Mbowe, haruhusiwi kikatiba hata kuchukua fomu tu ya kugombea Uraisi achilia mbali kuwa mgombea wa Uraisi, Chama chake wanajua na wapenzi wakereketwa wa Chama pia wanajuaUnafahamu kuwa kati ya wagombea Urais Tanzania, mgombea aliyebwagwa Kwa kura nyingi zaidi alikuwa Mbowe alipogombea?
Unajuwa alibwagwa na Kikwete kwa asilimia ngapi?
Mbowe ana rekodi ya Tanzania kwa kuwa ni mgombea aliyepata kura kidogo zaidi, haitavunjwa hiyo.
Ohooooo!!Dodoma nasikia kumekucha tena vibaya!
endeleeni kupima mapapai coronaKwa mjibu wa elimu yake Mbowe, haruhusiwi kikatiba hata kuchukua fomu tu ya kugombea Uraisi achilia mbali kuwa mgombea wa Uraisi, Chama chake wanajua na wapenzi wakereketwa wa Chama pia wanajua
Mbowe ni Tunu ya duniaMamndenyi wacha masihara bhana, ina maana siku zote ulikuwa hujui kuwa mh Mbowe ndiye akili kubwa hapa Tanzania?
In God we Trust
Mbowe ndiye Rais wa Ukweli wengine makapi
Mwambie huyo bimkubwa
In God we Trust
.Mamndenyi wacha masihara bhana, ina maana siku zote ulikuwa hujui kuwa mh Mbowe ndiye akili kubwa hapa Tanzania?
In God we Trust
Unafahamu kuwa kati ya wagombea Urais Tanzania, mgombea aliyebwagwa Kwa kura nyingi zaidi alikuwa Mbowe alipogombea?
Unajuwa alibwagwa na Kikwete kwa asilimia ngapi?
Mbowe ana rekodi ya Tanzania kwa kuwa ni mgombea aliyepata kura kidogo zaidi, haitavunjwa hiyo.
Labda Rais wa Wasafi ila kwa Urais wa Tanzania lazima awe msomi mwenye digrii sasa huyo Mbowe alofeli shule inakuwa ngumu. Nadhani Chadema ndo Chama pekee Duniani kinachoongozwa na Mwenyekiti mbumbumbu eeMbowe ndiye Rais wa Ukweli wengine makapi
Si alisema yeye na Wabunge wengine wa Chadema watajipa self isolation ya siku 14, hilo Taifa ataongea nalo kwa njia gani? Halafu asituchoshe kwa kupambana na Rais wa nchi ambaye hana uwezo wa kumshinda. Kimasingi hata kama Rais asingetamka, isingewezekana Mbowe na genge lake walipwe posho za vikao vya Bunge wakati hawahudhurii vikao vya Bunge.“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.