Bushesha jr
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 675
- 690
Unajua katika nchi za kiafrika hata Kingwendu anaweza kuwa Rais? Hivyo kuwa rais ni ngekewa tu! Sawa alioa kwa Mtei, but he is delivering! Wewe hotuba ya jana inaweza kutolewa na mtu mwenye hadhi ya Rais in the real sense ya Rais?Mbowe alipata daraja la mwisho kabisa kwenye Elimu ya TZ yaani division 0, hivyo Mbowe ana low IQ kwa mujibu wa matokeo yake, ni ajabu mmefanya kuwa Kiongozi wenu, Mbowe hana uwezo wa kutuma maombi ya kazi popote na kujibiwa kwani IQ haitoshi, ameweza tu kuwa Kiongozi wa chadema shauri ya Upendeleo kwamba kaoa Mtoto wa Mtei ambaye ni Mwanzilishi wa chadema, hivyo kawekwa hapo kwa nguvu lakini siyo kwa merit, ...
Mtakufa huku mkimsifia mnyapara wenu.“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
mkuu huko mbali , mwambie huyo jiwe anayejiita Dr mpaka Leo hawezi kuzungumza kiingereza anashindwa hata na mwanangu wa darasa la 5Unajua katika nchi za kiafrika hata Kingwendu anaweza kuwa Rais? Hivyo kuwa rais ni ngekewa tu! Sawa alioa kwa Mtei, but he is delivering! Wewe hotuba ya jana inaweza kutolewa na mtu mwenye hadhi ya Rais in the real sense ya Rais?
Umesoma PhD writing ya Mkuu wako? That was a copy and paste! Ni vitu vidogo vidogo na ndiyo maana we do not have Ben Saaanane!
Pole kwa swaumu!Hata mtaani kwake akihutubia hakuna anaekwenda kumsikiliza isipokuwa misukule tu.
Ashukuru "social media" na waandishi wa vibahasha.
Mbowe wewe ni mnafiki na unalijua hilo au nifungue lile file? Utaaibika kaka, hoja za wanaume hazijibiwi kivulana
Uhuru wa kuongea yaani kukosoa serikali umefutwa kisheria umebakia kusifia na kupongeza tu nini?“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
Usijidanganye kuwa huwa unazungumza na Taifa!! Sana sana uñazungumza na wafuasi wawili watatu wa chadema waliobaki!! Wengi wameshakuponda! You are no longer relevant!! Pole!!“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.
Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.
Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.
View attachment 1439248
Badala ya kunipa Hongera kwa swaum, pole wewe usiyefunga.Pole kwa swaumu!
Kwahiyo tukusaidie nini?Mbowe alipata daraja la mwisho kabisa kwenye Elimu ya TZ yaani division 0, hivyo Mbowe ana low IQ kwa mujibu wa matokeo yake, ni ajabu mmefanya kuwa Kiongozi wenu, Mbowe hana uwezo wa kutuma maombi ya kazi popote na kujibiwa kwani IQ haitoshi, ameweza tu kuwa Kiongozi wa chadema shauri ya Upendeleo kwamba kaoa Mtoto wa Mtei ambaye ni Mwanzilishi wa chadema, hivyo kawekwa hapo kwa nguvu lakini siyo kwa merit, ...
Yeye hakuhutubii wewe msubiri jiwe akuhutubie akiwa chato huko.Mbowe kweli anazeeka vibaya,
Kwa siku za hivi karibuni amekua akitoa hotuba utafikiri ni mtu mwenye instruments za kumuwezesha kutekeleza anachokisema, yaani kwa ufupi amejipa mamlaka ambayo hana.
Exactly, aonyeshe hata publication moja ya kazi yake.. ni ujinga tu!mkuu huko mbali , mwambie huyo jiwe anayejiita Dr mpaka Leo hawezi kuzungumza kiingereza anashindwa hata na mwanangu wa darasa la 5
Hongera kwa kufunga!Badala ya kunipa Hongera kwa swaum, pole wewe usiyefunga.
Alhamdulillah huu mwezi wa neema na rehma.
Mke wake ni wewe kumbe mpaka unatuletea ambacho huwa mnaamua naye sebuleni!!Mwez 11 tutakua na KUB mpya bungeni, mwenye constructive criticism, maono, busara na mpenda maendeleo. Sio huyu wa sasa yeye kwake ni pesa na ndogo ndogo. Udikteta kwenda mbele, vitu vingine anaamua sebuleni na mke wake ndo vinakua msimamo wa chama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wenzetu wengine akili zenu haga zikoje? Hivi mnadhani wao walikua hawajui kama posho hawatapata? Usipokwenda bungeni, posho unapataje? Halafu na walio like uzi wako nao utaona eti somo la civics walifauru; sijui tuna mkosi gani nchi hi?Kachemsha huyo naye atulie tu au ndo anatafuta gia ya kurudi bungeni baada ya kusikia posho zinafyekwa!