Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

Chadema ni hamnazo kabisa hivi hoja hizi za mkuu wa nchi inaweza kuzijibu kipuuzi hivyo ?
Hoja za JPM Sasa zinafuatiliwa dunia nzima na wanajaribu kujiuliza.....leo hawa wasaliti wanataka kutuambia nini
 
Mbowe alipata daraja la mwisho kabisa kwenye Elimu ya TZ yaani division 0, hivyo Mbowe ana low IQ kwa mujibu wa matokeo yake, ni ajabu mmefanya kuwa Kiongozi wenu, Mbowe hana uwezo wa kutuma maombi ya kazi popote na kujibiwa kwani IQ haitoshi, ameweza tu kuwa Kiongozi wa chadema shauri ya Upendeleo kwamba kaoa Mtoto wa Mtei ambaye ni Mwanzilishi wa chadema, hivyo kawekwa hapo kwa nguvu lakini siyo kwa merit, ...
Unajua katika nchi za kiafrika hata Kingwendu anaweza kuwa Rais? Hivyo kuwa rais ni ngekewa tu! Sawa alioa kwa Mtei, but he is delivering! Wewe hotuba ya jana inaweza kutolewa na mtu mwenye hadhi ya Rais in the real sense ya Rais?
Umesoma PhD writing ya Mkuu wako? That was a copy and paste! Ni vitu vidogo vidogo na ndiyo maana we do not have Ben Saaanane!
 
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

View attachment 1439248
Mtakufa huku mkimsifia mnyapara wenu.
 
Unajua katika nchi za kiafrika hata Kingwendu anaweza kuwa Rais? Hivyo kuwa rais ni ngekewa tu! Sawa alioa kwa Mtei, but he is delivering! Wewe hotuba ya jana inaweza kutolewa na mtu mwenye hadhi ya Rais in the real sense ya Rais?
Umesoma PhD writing ya Mkuu wako? That was a copy and paste! Ni vitu vidogo vidogo na ndiyo maana we do not have Ben Saaanane!
mkuu huko mbali , mwambie huyo jiwe anayejiita Dr mpaka Leo hawezi kuzungumza kiingereza anashindwa hata na mwanangu wa darasa la 5
 
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

View attachment 1439248
Uhuru wa kuongea yaani kukosoa serikali umefutwa kisheria umebakia kusifia na kupongeza tu nini?
 
“[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema Freeman Mbowe.

Wakati Rais Magufuli ametoka kuwatoa hofu Mheshimiwa Mbowe siku chache baada ya Kuamurisha wabunge wa CHADEMA wasiingie Bungeni sasa amesema anataka kuongea na taifa.

Ila namshauri Mbowe na genge lake akaye kimya , kwan anaweza kudakwa mda wowote anaongea na Taifa kwa misingi gani? yeye ni Nani hapa Tanzania?? Atulie na familia yake katika hiki kipindi kigumu.

View attachment 1439248
Usijidanganye kuwa huwa unazungumza na Taifa!! Sana sana uñazungumza na wafuasi wawili watatu wa chadema waliobaki!! Wengi wameshakuponda! You are no longer relevant!! Pole!!
 
Mbowe alipata daraja la mwisho kabisa kwenye Elimu ya TZ yaani division 0, hivyo Mbowe ana low IQ kwa mujibu wa matokeo yake, ni ajabu mmefanya kuwa Kiongozi wenu, Mbowe hana uwezo wa kutuma maombi ya kazi popote na kujibiwa kwani IQ haitoshi, ameweza tu kuwa Kiongozi wa chadema shauri ya Upendeleo kwamba kaoa Mtoto wa Mtei ambaye ni Mwanzilishi wa chadema, hivyo kawekwa hapo kwa nguvu lakini siyo kwa merit, ...
Kwahiyo tukusaidie nini?

Bado mnamfanyia kila hila lakini hamjamueza kilichobakia kwenu ni kutumia vyombo vya dola tu sichengine.

Pinga kwa hoja na si kwa vioja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kweli anazeeka vibaya,

Kwa siku za hivi karibuni amekua akitoa hotuba utafikiri ni mtu mwenye instruments za kumuwezesha kutekeleza anachokisema, yaani kwa ufupi amejipa mamlaka ambayo hana.
Yeye hakuhutubii wewe msubiri jiwe akuhutubie akiwa chato huko.

Mbona kama nikidume ameikimbia ikulu kipindi hiki chá korona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huko mbali , mwambie huyo jiwe anayejiita Dr mpaka Leo hawezi kuzungumza kiingereza anashindwa hata na mwanangu wa darasa la 5
Exactly, aonyeshe hata publication moja ya kazi yake.. ni ujinga tu!
 
Mwez 11 tutakua na KUB mpya bungeni, mwenye constructive criticism, maono, busara na mpenda maendeleo. Sio huyu wa sasa yeye kwake ni pesa na ndogo ndogo. Udikteta kwenda mbele, vitu vingine anaamua sebuleni na mke wake ndo vinakua msimamo wa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wake ni wewe kumbe mpaka unatuletea ambacho huwa mnaamua naye sebuleni!!
Pole sana bi dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kachemsha huyo naye atulie tu au ndo anatafuta gia ya kurudi bungeni baada ya kusikia posho zinafyekwa!
Nyie wenzetu wengine akili zenu haga zikoje? Hivi mnadhani wao walikua hawajui kama posho hawatapata? Usipokwenda bungeni, posho unapataje? Halafu na walio like uzi wako nao utaona eti somo la civics walifauru; sijui tuna mkosi gani nchi hi?
 
Back
Top Bottom