Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

Kama Mungu hataki hamtokikalia kiti cha Urais. Kumbuka hilo.

Mtu mwenye vilabu vya usiku wanaokwenda malaya na mashoga kujiuza leo apewe nchi?

Mnafanya utani na Mungu?
Vipi mbona alipata Ubunge
 

Kanunuliwa kwa heshima. Kuna mchezo umechezwa hapa
 
Unataka nchi igeuzwe danguro la kujiuza malaya na mashoga?
Mm nilikuwa nakuheshimu sana faizafoxy ila kwa hapa umenishangaza..kwamba hilo danguro unaongelea lipi? Au unarefer club bilicanas....hebu muogope Mungu kidg...licha ya tofauti za kiitikadi ni vyema kusimamia fact...wale waliokuwa wanaimba mbowe gaidi wako wapi sasa?? Mbona wanaona aibu...sio lazima kuandika ili mradi uandike tu
 
Huyu dada amefikia menopause. Muonee huruma
 
Lissu alipigwa risasi hakukamatwa wala hakutekwa
The difference is clear
majambazi walitaka nini??hela za chama au??? na km ni hela!!!.... je Lissu alikuwa mtunza hazina wa chama??..au alikuwa na kapu la mshahara???...na kesi yake iliendaje...baada ya polisi kufuatilia???.......km walishindwa kwa mutu kubwa ivo, mbunge na Rais nusu.....je sisi walal hoi tutakuwa salama??

ina maana jeshi la polisi ni bogus makamanda wote wapigwe chini sasa hivi navoongea maana hatuko salama ki viile km al shababa wameingia mpaka kwenye makaazi ya wabunge! je nyie walal hoi?? Rais na team yake yuko salama??

Mkinichagua mie Urais haya yooote nitaweka wazi!! kuanzia mipango ilivo sukwa nani ni nani na kwa nini........nitaweka wazi zaidi mnipe kura zenu mie smaki naanz akampeni rasmi make shapa chikwa jina huku
 
Nina stick hapo kwa wanachama wa Chadema vichwa ngumu sababu kuna mifano mingi wanayoonesha walivyo wagumu, wapo wanaopinga hata Mbowe kwenda ikulu juzi, walitaka asuse, hawa kwangu ni vichwa ngumu tu, hakuna politics bila mazungumzo.

Kuhusu idea ya Lissu kuongea na watz baada ya kuonana na Samia, na Mbowe kugoma kuongea mpaka wakae chamani kwao, kwangu naona hata Mbowe angeweza kufanya alichofanya Lissu tofauti na unavyofikiria.

Zaidi naona matukio ya Mbowe na Lissu kukutana na Samia yanafanana, labda ajenda moja tu ya Mbowe kuachiwa huru ndio inabadilika, nyingine zote zinabaki pale pale.

Mbowe angemaliza kuongea na Samia angeweza atoke pale aje aseme nimemwambia tunataka Katiba Mpya, Tume Huru, na mikutano ya siasa, lakini hakufanya hivyo, hii kwangu ni move tofauti kwenye same scenario kama ya Lissu.

Ila kama kuna motive behind iliyomfanya Lissu aongee vile na Samia aka react kwa kumuachia Mbowe na akawaudhi wahafidhina ndani ya chama chao hiyo siijui.
 
Huu ndio ukweli na kila mtanzania anajua sasa. Katiba mpya lazima ipatikaneView attachment 2141295
Mateso ya mwenye haki ni mengi lakini Bwana humponya nayo yote.Mungu ajuaye sirini anajua ukweli wake na ukweli wa machozi haya..kama ni ya haki na uonevu awape rehema zake wote waliomfanyia hatia hii baba huyu ....na kama alistahili alichopitia basi Mungu ampe rehema zake.
 
Akishaongea baadae njoo ukejeli tena hapa.

Kwani huyo unaemwita mama ninani si ni maji tu ya manii kama wewe.
Kama mnapenda kutukuza tukuzani nyinyi kama huyu.View attachment 2141286
Anaabudu wanadamu yaani huyu akija jimboni kwetu ni kumpiga chini tu anapenda ukuuu sana kenge kabisa! na wote waliompa kura nawapeleka motoni!! usiseme nimehukumu bali nimeumbwa kwa mfano wake kwa hiyo nina haki ya kutoa hukumu ya haki!
 
Unafikiri katiba mpya ndio itawapa nchi Wachagga?
Nchi yao Kilimanjaro wataipata tu. Hakuna hali ya kudumu duniani.

Zamani Tanganyika yote hadi East ya Congo DRC ilikuwa mali ya Zanzibar. Leo Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika na inalia kutawaliwa/kunyonywa na Tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…