mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Ole Sabaya ukimuangalia tu usoni huitaji kuuliza roho yake ikoje.DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Ni DC kijana bado ana akili za ujanaujana.Sabaya huyu mwamba sijawahi kumwelewa na mambo yake
Hivi huyu ni superhuman, au?Ole Sabaya ukimuangalia tu usoni huitaji kuuliza roho yake ikoje.
ππ€£ππ€£ππππ€£πππππππ€£ππππππππ€£π€£π€£ We Mbowe utauliwa na Faru John tu hawawezi hangaika na wewe kwa sasaDC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.