Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.

Pia soma >Walinzi wa Mbowe wadaiwa kutekwa

Sabaya.JPG

UN WALIKANA GARI
UN.JPG
 
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Ole Sabaya ukimuangalia tu usoni huitaji kuuliza roho yake ikoje.
 
Tumechokaaaaaaa tumechoka aa niko radhi kufa Nimesimama kuliko kufanimepiga magoti. Black colonialist UNAKERA. Am coming after you. Believe me am coming after you you have got no where to hide or run. Am gonna fix you up with my own bare hands.

Tumechoka
IMG_20200830_151220.jpg
 
Ole Sabaya ukimuangalia tu usoni huitaji kuuliza roho yake ikoje.
Hivi huyu ni superhuman, au?

Maana for years now inaonekana anaweza kufanya uhalifu wowote kwa utashi wake na huwa anasikika akitamba kwa uhalifu huo lakini wahanga wake badala ya ku hit back naona wanalalama tu. Je, yeye ni superhuman na anaogopesha sana?
 
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.

😂🤣😂🤣😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 We Mbowe utauliwa na Faru John tu hawawezi hangaika na wewe kwa sasa
 
Back
Top Bottom