Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Basi nikuachie mkuu maana mida ya matokeo yajongea.Em ishia hapo tuu unatia hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi nikuachie mkuu maana mida ya matokeo yajongea.Em ishia hapo tuu unatia hasira
Sasa huyu mbona ana mwonekano wa kihuni namna hii?Ndo DC uyu[emoji23][emoji23][emoji23]bongo futuhi sanaView attachment 1615054
Mbowe anakwama sana level yake sio wa kusumbuliwa na dc.Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii....
Nyie wapuuzi sana, mkiwafanyia wengine poa tu, ila mkifanyiwa nyie uchochezi, punda kabisa.Lakini mkuu, huo ni uchochezi.
Wachochea vurugu na shida.
Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.
Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Wacha uongo.Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.
Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
Mbona nyie tukiandika ukweli humu JF mnatushambulia na kutufungia kisa tunaeleza ukweli huhusu Mlevi wa konyagi kununua kijiwe hiki? Na hata siku moja hamjakanusha? Wacheni bana nchi hii ni ya kwetu wote na tuvumiliane, kutesa ni kwa zamu lakini wanaopata zamu lazima wawe waadilifu sio kama mlevi wa konyagi au toto tundu.Speech aliyoitoa jiwe siku ya mkutano wake wa kampeni Hai alivyomshambulia Mbowe personally ndio nilijua kwanini Sabaya ana kiburi namna hii, anatumwa na bosi wake kufanya hayo yote anayofanya, ndicho jiwe anachotaka kuona Mbowe anafanyiwa, jiwe ana roho mbaya sana halafu kila siku anaimba amani... amani.
Usukani wewe umeuona wapi hapo kwenye picha.Kama si uongo gari gani hii yenye usukani wa gari za 1950s.
Mkuu ilisaidia kwa kipindi hiko kumng'oa Pablo escobar na mapandikizi wao serikalini na sidhani kma itawahi tokea cartel kubwa kma ile iliyomnunua mpaka Rais na Jeshi!!Sasa hayo je yamesaidia Colombia hadi leo?
Biashara ya madawa maarufu kama Coffee bado inafanywa.
Halafu Colombia si taifa la kutumia kama mfano maana wao na Mexico si sawa na Tanzania.
Nchi hizo serikali ziko mikononi mwa Cartels.
Mwisho wa Sabaya umefika rasmiMbona nyie tukiandika ukweli humu JF mnatushambulia na kutufungia kisa tunaeleza ukweli huhusu Mlevi wa konyagi kununua kijiwe hiki? Na hata siku moja hamjakanusha? Wacheni bana nchi hii ni ya kwetu wote na tuvumiliane, kutesa ni kwa zamu lakini wanaopata zamu lazima wawe waadilifu sio kama mlevi wa konyagi au toto tundu.
Punguani. Yani ufe kwa sababu ya chama cha mwanaume mwenzio mjasiriamali. Manyumbu kazi mnayo.Tumechokaaaaaaa tumechoka aa niko radhi kufa Nimesimama kuliko kufanimepiga magoti. Black colonialist UNAKERA. Am coming after you. Believe me am coming after you you have got no where to hide or run. Am gonna fix you up with my own bare hands.
Tumechoka View attachment 1615044
Umeandika upuuzi gani huu?! ukweli gani kuhusu Mbowe ulioandika unaofanana na huo kwenye hizo picha za video zikionesha hao majambazi wakitaka kummamliza Mbowe kwa silaha za moto huku mkiimba amani ya kinafiki?!Mbona nyie tukiandika ukweli humu JF mnatushambulia na kutufungia kisa tunaeleza ukweli huhusu Mlevi wa konyagi kununua kijiwe hiki? Na hata siku moja hamjakanusha? Wacheni bana nchi hii ni ya kwetu wote na tuvumiliane, kutesa ni kwa zamu lakini wanaopata zamu lazima wawe waadilifu sio kama mlevi wa konyagi au toto tundu.
Una mawazo kama mimi. Hapa tulipofikia hawa watawala wanajua kabisa wana dola na watafanya chochote na hakuna wa kuwaambia lolote. Lakini cha kushangaza hawa watawala wana watoto, wake na ndugu na wanaishi mitaani. Inaweza kja kufikia mahali watu wakapoteza matumaini kabisa na wakaamua kushambulia chochote kinachohusiana na watawala. Hali ikishafika kuwa hiyo kuja kukibadilisha tena ni ngumu sana. Ndiyo maana tunaona kuna nchi zina mapigano yasiyoisha.Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.
Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
Sabaya huyu mwamba sijawahi kumwelewa na mambo yake
Uongo ni upi? Ulifuatilia uchaguzi wa Kenya kuanzia 97 mpaka 2007? Au umekulia porini huko umejulia siasa FB!Wacha uongo.
Ukweli unauma unaingia hadi kwenye mtima.Umeandika upuuzi gani huu?! ukweli gani kuhusu Mbowe ulioandika unaofanana na huo kwenye hizo picha za video zikionesha hao majambazi wakitaka kummamliza Mbowe kwa silaha za moto huku mkiimba amani ya kinafiki?!
Wacha ujinga wako wa kitoto.
Huyu mwenyekiti wa saccos hovyo kabisa,Lipia tangazo la hotel yako sasa.DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.
Tumechokaaaaaaa tumechoka aa niko radhi kufa Nimesimama kuliko kufanimepiga magoti. Black colonialist UNAKERA. Am coming after you. Believe me am coming after you you have got no where to hide or run. Am gonna fix you up with my own bare hands.
Tumechoka View attachment 1615044
Anaonekana muhuni muhuni tuNdo DC uyu[emoji23][emoji23][emoji23]bongo futuhi sanaView attachment 1615054