Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Speech aliyoitoa jiwe siku ya mkutano wake wa kampeni Hai alivyomshambulia Mbowe personally ndio nilijua kwanini Sabaya ana kiburi namna hii, anatumwa na bosi wake kufanya hayo yote anayofanya, ndicho jiwe anachotaka kuona Mbowe anafanyiwa, jiwe ana roho mbaya sana halafu kila siku anaimba amani... amani.
 
Kama si uongo gari gani hii yenye usukani wa gari za 1950s.
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.

Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
Nyie wapuuzi sana, mkiwafanyia wengine poa tu, ila mkifanyiwa nyie uchochezi, punda kabisa.
 
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.

DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameon ( Original ).jpg
IMG_20201028_194549.jpg
IMG_20201028_194542.jpg
IMG_20201028_194536.jpg
IMG_20201028_194523.jpg
IMG_20201028_194514.jpg
 
Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.

Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
Wacha uongo.
 
Speech aliyoitoa jiwe siku ya mkutano wake wa kampeni Hai alivyomshambulia Mbowe personally ndio nilijua kwanini Sabaya ana kiburi namna hii, anatumwa na bosi wake kufanya hayo yote anayofanya, ndicho jiwe anachotaka kuona Mbowe anafanyiwa, jiwe ana roho mbaya sana halafu kila siku anaimba amani... amani.
Mbona nyie tukiandika ukweli humu JF mnatushambulia na kutufungia kisa tunaeleza ukweli huhusu Mlevi wa konyagi kununua kijiwe hiki? Na hata siku moja hamjakanusha? Wacheni bana nchi hii ni ya kwetu wote na tuvumiliane, kutesa ni kwa zamu lakini wanaopata zamu lazima wawe waadilifu sio kama mlevi wa konyagi au toto tundu.
 
Sasa hayo je yamesaidia Colombia hadi leo?

Biashara ya madawa maarufu kama Coffee bado inafanywa.

Halafu Colombia si taifa la kutumia kama mfano maana wao na Mexico si sawa na Tanzania.

Nchi hizo serikali ziko mikononi mwa Cartels.
Mkuu ilisaidia kwa kipindi hiko kumng'oa Pablo escobar na mapandikizi wao serikalini na sidhani kma itawahi tokea cartel kubwa kma ile iliyomnunua mpaka Rais na Jeshi!!

So huwezi dharau formation iliyommaliza Pablo Escobar na hata Urusi wametumia kuzima ugaidi huko kwao, So sio ngeni.

Los Pepes!! For life
 
Mbona nyie tukiandika ukweli humu JF mnatushambulia na kutufungia kisa tunaeleza ukweli huhusu Mlevi wa konyagi kununua kijiwe hiki? Na hata siku moja hamjakanusha? Wacheni bana nchi hii ni ya kwetu wote na tuvumiliane, kutesa ni kwa zamu lakini wanaopata zamu lazima wawe waadilifu sio kama mlevi wa konyagi au toto tundu.
Mwisho wa Sabaya umefika rasmi
 
Tumechokaaaaaaa tumechoka aa niko radhi kufa Nimesimama kuliko kufanimepiga magoti. Black colonialist UNAKERA. Am coming after you. Believe me am coming after you you have got no where to hide or run. Am gonna fix you up with my own bare hands.

Tumechoka View attachment 1615044
Punguani. Yani ufe kwa sababu ya chama cha mwanaume mwenzio mjasiriamali. Manyumbu kazi mnayo.
 
Mbona nyie tukiandika ukweli humu JF mnatushambulia na kutufungia kisa tunaeleza ukweli huhusu Mlevi wa konyagi kununua kijiwe hiki? Na hata siku moja hamjakanusha? Wacheni bana nchi hii ni ya kwetu wote na tuvumiliane, kutesa ni kwa zamu lakini wanaopata zamu lazima wawe waadilifu sio kama mlevi wa konyagi au toto tundu.
Umeandika upuuzi gani huu?! ukweli gani kuhusu Mbowe ulioandika unaofanana na huo kwenye hizo picha za video zikionesha hao majambazi wakitaka kummamliza Mbowe kwa silaha za moto huku mkiimba amani ya kinafiki?!

Wacha ujinga wako wa kitoto.
 
Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.

Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
Una mawazo kama mimi. Hapa tulipofikia hawa watawala wanajua kabisa wana dola na watafanya chochote na hakuna wa kuwaambia lolote. Lakini cha kushangaza hawa watawala wana watoto, wake na ndugu na wanaishi mitaani. Inaweza kja kufikia mahali watu wakapoteza matumaini kabisa na wakaamua kushambulia chochote kinachohusiana na watawala. Hali ikishafika kuwa hiyo kuja kukibadilisha tena ni ngumu sana. Ndiyo maana tunaona kuna nchi zina mapigano yasiyoisha.
 
Sabaya huyu mwamba sijawahi kumwelewa na mambo yake

Anatumika tu kama alivyo tumika Makonda ,ndio tatizo la Vijana wa UVCCM kutwa kuchwa wana hubiri kuua tu wengine wana tembea na Sumu na kujiapiza kuua bila wasi wasi wowote.

Sabaya aliwahi kuwa na kashifa mbaya ya kufoji Kitambulisho cha Mtumishi ndani ya Idara za Usalama na Kesi alifunguliwa ,baada ya kuwa Mkuu wa Wilaya ikayeyuka.Mfumo mmbovu Siku zote huzaa Vitu vibovu.Tumeshindwa kuuondoa tuta nyanyaswa sana na hawa Binadamu.
 
Umeandika upuuzi gani huu?! ukweli gani kuhusu Mbowe ulioandika unaofanana na huo kwenye hizo picha za video zikionesha hao majambazi wakitaka kummamliza Mbowe kwa silaha za moto huku mkiimba amani ya kinafiki?!

Wacha ujinga wako wa kitoto.
Ukweli unauma unaingia hadi kwenye mtima.
 
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd.

Huyu mwenyekiti wa saccos hovyo kabisa,Lipia tangazo la hotel yako sasa.
 
Tumechokaaaaaaa tumechoka aa niko radhi kufa Nimesimama kuliko kufanimepiga magoti. Black colonialist UNAKERA. Am coming after you. Believe me am coming after you you have got no where to hide or run. Am gonna fix you up with my own bare hands.

Tumechoka View attachment 1615044
Ndo DC uyu[emoji23][emoji23][emoji23]bongo futuhi sanaView attachment 1615054
Anaonekana muhuni muhuni tu

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom