Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua

Mwambieni Mbowe Tabia zake za kulalamika tumechoka, achukue hatua.
 
Mbowe! Mbowe Mbowe!

Hivi kweli pamoja na umaarufu wako wote ni mtu wa kulialia kwa ajili ya Sabaya.Unaonekana mtoto.Halafu kuaminika kwako baada ya ile issue yako iliyosababishwa na mvinyo mkali huku ukitaka kuisingizia serikali kunatiliwa mashaka. Komaa mdogo wangu. Acha kulialia. Au umenusa jimbo linaondoka sasa unatafuta 'exit' ?
 
Na mimi nimeshangaa sana kwani hana mke au watoto? Hana mama au baba? Unajua wakiguswa na wao ndio watajua how it feels ila kuwachekea tu haisaidii.

Odinga anaheshimika Kenya sio sababu ya diplomasia bali aliwatia adabu. Yaani kuanzia jaji mkuu mpaka msimamizi wa vituo unakuta shangazi yako kang'olewa shingo, ndipo wakatia adabu.
Kama kuna upumbavu cdm wamefanya ni huo, ilitakiwa kama chalamila anakutana na msiba wa mwanae, huyu wa kawe anakutana na msiba wa baba yake, yule mahera anakutana na msiba wa mkewe, mihayo anakutana na wa mtoto, hivyo hivyo kwa siro,diwan, mambobaadae, na wengine wote

Huu ujinga ungekoma
 
Watu Kama Hawa wanaojifanyanyaga mwamba mnawadaka mnawapa kichapo heavy halafu mnawaachia.

Hatuwezi sumbuliwa na mtu mmoja kisa cheo chake.

Undava undava tu.
 
Hivi huyu ni superhuman, au?

Maana for years now inaonekana anaweza kufanya uhalifu wowote kwa utashi wake na huwa anasikika akitamba kwa uhalifu huo lakini wahanga wake badala ya ku hit back naona wanalalama tu. Je, yeye ni superhuman na anaogopesha sana?
Ukimgusa huyo ndiyo utajua nguvu zake zinatokana na nini. Usidhani Mbowe ni mjinga kutojua mwenye huyo mbwa ni nani.
 
Lakini mkuu, huo ni uchochezi.

Wachochea vurugu na shida.

Wamtumia Odinga lakini Kenya na Tanzania tunatofautiana sana.

Ikithibitika kama ni kweli huyu dogo katenda hayo basi zipo taratibu za kumfanya awe reprimanded.
Wakati mwingine tupa kule taratibu na kamua mtu kinyesi tu.
 
Kwani wenyewe hawa huwa wanaishi wapi mbinguni au kuzimu? Tupo nao vijijini mijini humuhumu au
 
Yan ingekua mimi ni Mbowe, ningeshamuua jamaa siku nyingi, haezi nisumbua namna hii nimkalie kimya..ningekodi watu alshabab wamsomee ramani watembeze risasi hadi na maaskari wao wafe
Wewe humtakii mema Mbowe.

Umuue mbwa, mwenye mbwa atakuacha salama? Wewe unadhani Mbowe hayajui hayo?
 
Wale jamaa waliovamia Mtwara kwann wasianze na huyu jamaa.
 
Mnawaita mabeberu halafu mkienda kufanya uhalifu mnatumia plate number zao ! Bahati nzuri wamewakana ila ninaamini hawatowaacha hivi hivi...
 
kama kuna upumbavu cdm wamefanya ni huo, ilitakiwa kama chalamila anakutana na msiba wa mwanae, huyu wa kawe anakutana na msiba wa baba yake, yule mahera anakutana na msiba wa mkewe, mihayo anakutana na wa mtoto, hivyo hivyo kwa siro,diwan, mambobaadae, na wengine wote


huu ujinga ungekoma
Kwanza hiyo habari ya Odinga ni story ya kutunga tu!

Lakini ukweli ni kwamba Odinga amewatumia sana waluo wenzake kwa manufaa yake binafsi zaidi kuliko matumaini waliyokuwa wakiyatarajia kuyapata kupitia kwake.

Odinga, bila ya 'backing' ya waluo wenzake angekuwa alishakwisha siku nyingi sana.

Mbowe hana msingi wa aina hiyo toka kwa wachaga wenzie na hata ndani ya chama chake CHADEMA. Ndio maana ni tageti laini.
Watesi wake wanajua hakutakuwa na athari yoyote wakimgusa vyovyote watakavyo.

Walimkosakosa pale kwenye ule mkutano ulioishia na Akwilina kupoteza maisha, wakaona ni heri wampeleke Segerea. Hiyo haikutosha, sasa wanatafuta kummaliza kabisa.
Ni swala la muda tu, kama asipokunja mkia na kuwaacha wenye nguvu wafanye yao.
 
Hii ilikua saa 8 na nusu usiku wa kuamkia leo. Huyu anayeonekana pichani aliyeshika bunduki si jambazi, si gaidi, si jinamizi. Ni Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya. Akiwa na genge lake la zaidi ya watu 20 walivamia hoteli ya kitalii ya Aishi Protea inayomilikiwa na Mhe.Freeman Mbowe ambapo waliwakamata wageni kadhaa walikuwemo hotelini hapo na kuwaweka rumande kituo cha polisi Bomang'ombe kwa madai kuwa wanapanga kuvuruga uchaguzi.

Pia aliwakamata walinzi wa hoteli hiyo na kuwapiga, kuwanyang'anya silaha na kuwasweka matambara mdomoni, kisha kuwachukua na kwenda kuwatelekeza porini kabla ya kufika uwanja wa ndege wa KIA. Wakati akitekeleza uhalifu huo alikua na magari yenye plate number za Umoja wa mataifa (UN) lakini UN imetoa taarifa kuwa magari hayo si yake. Hii ina maana DC Sabaya alighushi namba za magari hayo kinyume cha sheria.

Yani ameingiza nchi kwenye mgogoro wa kidiplomasia usio na tija kwa maslahi ya kisiasa. #MyTake: Hawa ndio watu ambao JPM anawapenda na anawalinda sana. Just like Bashite. Yani DC hana mafunzo yoyote ya kijeshi lakini anatembea na silaha ya kivita, anavamia hoteli bila kujali wageni waliopo. Anapiga walinzi, anawanyang'anya silaha, anawafunga mikono na miguu na kuwajaza matambara mdomoni. Kisha anaagiza wakatupwe porini. Saa 8 za usiku. Unyama gani huu?

FB_IMG_16039190083223624.jpg
 
Tumechokaaaaaaa tumechoka aa niko radhi kufa Nimesimama kuliko kufanimepiga magoti. Black colonialist UNAKERA. Am coming after you. Believe me am coming after you you have got no where to hide or run. Am gonna fix you up with my own bare hands.

Tumechoka View attachment 1615044
Anatamani kufa eti!
 
Mie ile tabia yake ya kupora mademu za watu ndio huwa inaniachaga hoi aisee yaani nasikia akimpenda hata wife wako anakupora tu na genge lake .. sijui kwanini Bwana mkubwa anamuacha huyu jamaa
Na mbaya zaidi ana ngoma babake naye alikuwa na tabia chafu ka ya huyo sabaya
 
Back
Top Bottom