Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Na ili iokoke lazima uondoke wewe na corona maana naraa lake unalo wewe
 
Umevamia JF kwa fujo hongera sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nawa mikono mara kwa mara kwa saburi na maji tiririka. Epuka safari zisizo za lazima. Epuka misongamano na kama huna kazi za kufanya kaa nyumbani usome vitabu na majarida upate maarifa ya ziada pindi gonjwa hili likiisha.

Habari za Mbowe na familia yake hazitakusaidia katika maisha yako hadi unaingia kaburini.
 
Mkuu ni mpumbavu peeke anaweza kukupinga! Upimaji unaofanyika mipakani na nchi jirani ni kiashiria kikubwa kuwa koona imeshika kasi. Imagine kila siku madereva kutoka tz wakipima wanakutwa na koona je huko wanakotoka hao madereva hali ikoje???
 
Seriously!
 
Hana mamlaka akifanya hivyo atakamatwa na mamlaka.
 
Hamuwezi kufa njaa serikali ni tajiri itawagawia pesa za kula na wake zenu ili mfyatue watoto zaidi.
 
Mbowe aache makelele. Kuna nchi nyingi tu duniani zimeudhibiti mlipuko huu bila lockdown. Hata baadhi ya states za USA hazikuweka watu wake lockdown. Trump mwenyewe hapendi lockdown na amelinyima fedha shirika la WHO kwa ku handle suala hili la covid 19 ndivyo visivyo.

COVID-19 pandemic lockdowns - Wikipedia
 

Meko baada ya kutaja mwanae wazi, mbona hujataka kujua taarifa zaidi, na ni kwa nini hataki kurudi pale white house...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu wengi wanaomponda Rais na Serikali humu ni wale waliokua wakiwaibia wananchi na sasa wameminywa, Mbowe ni muhuni fulani na wala siwezi kumuita muheshimiwa hata siku moja. haihitaji elimu kumuelewa Rais wetu kua na kichwa chenye mawazo pevu sana,iwapo Africa tungekua na maRais kama JPM wasiopungua 40 hivi, Makaburu yangenyoosha mikono juu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Mkuu ni mpumbavu peeke anaweza kukupinga! Upimaji unaofanyika mipakani na nchi jirani ni kiashiria kikubwa kuwa koona imeshika kasi. Imagine kila siku madereva kutoka tz wakipima wanakutwa na koona je huko wanakotoka hao madereva hali ikoje???
Huyu bwana nia yake kwa nchi yetu mmmmh
 
Tanzania haitaangamia. Acha hofu. Chukua tahadhari tunazopewa na wataalamu lakini kwa kumtanguliza MUNGU mbele. Achana na fikra hasi. Jifunze kuwa chanya katika maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Peleke unafiki wako kule.si ufunge safari ukatembelee hivyo vituo pimbi ww.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…