Wewe umeshakariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata ukipewa ushahidi wa wazi utakataa bora uendelee kuishi hivyo hivyoNarudia mara kwa mara, tunapenda kusikia takwimu za maambukizi na vifo kutokana na COVID-19 kutoka Serikalini, lakini humu JF, kama wewe, husemi idadi ya walioambukizwa au vifo nyumbani kwako, jirani, mtaani, rafiki au ndugu zako? Hayo maambukizi na vifo viko wapi?
Aliyekuambia wewe una Akili ni nani ?wewe mwenyewe mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua chochote? huna kigezo cha kukosoa chochote wewe kwa ujinga wako unaona DJ ni tusi?Ww na mtoa hotuba mnatakiwa mkaanze kazi pale Kimboka by Night ya u Disco Jocker, maana akili zenu zinafanana.
Corona ipo sana lakini CCM hawataki watanzania wavae mask wanataka watanzania wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wabanane waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.ninawafahamu madaktari 5 walioambukizwa corona kutokana na vifaa duni wanavyotumia wanapowahudumia wagonjwa wa corona , wawili wako kwenye oxygen hivi ninavyoandika hapa
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha hujitambui unawezaje kujua mhuni? Tokea lini kinyamkela asiyejielewa akakosoa chochote? Jikosoe mwenyewe nenda katoe ujinga uliokujaaUkiwa muhuni huwezi kukosa sifa ya upumbavu hizi sifa mbili uhuni+upumbavu unazaa ujinga ukishakuwa mjinga hapo ndio unapokuwa unafanya Mambo/vitu/vya kijinga na hii ndio sifa ya mbowe kwahiyo naweza kumvumilia muhuni/mpumbavu ambae Ni mjinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo muongo hujawahi kujiamini kwa kukariri kile ulicholishwa huko vijiweni vibarazani kwenye mikusanyiko ya kuambukizana ili mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuMbowe ni mwongo, sijawahi kumwamini hata siku moja. Anatafuta public sympathy baada ya kuharibu kwa kuwafukuza wabunge wake kwenye chama, akashambuliwa na jamii!
Ni minyoo kweli kama ID yako! Hamkubali takwimu za Serikali wakati huo huo hutaki kutoa takwimu zako zenye ushahidi, waficha za nini? Kwani vifo vinaweza kufichwa? Marehemu huwa ana ndugu, marafiki, jirani na hata washirika wenzake.Wewe umeshakariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata ukipewa ushahidi wa wazi utakataa bora uendelee kuishi hivyo hivyo
Karibu sana msukule wa muhuni mboweWewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha hujitambui unawezaje kujua mhuni? Tokea lini kinyamkela asiyejielewa akakosoa chochote? Jikosoe mwenyewe nenda katoe ujinga uliokujaa
Msukule huyo hajielewiNi minyoo kweli kama ID yako! Hamkubali takwimu za Serikali wakati huo huo hutaki kutoa takwimu zako zenye ushahidi, waficha za nini? Kwani vifo vinaweza kufichwa? Marehemu huwa ana ndugu, marafiki, jirani na hata washirika wenzake.
Minyoo ya toilet mbowe Ni muongo muongo Ni msanii muhuni tu anawapata misukule na minyoo Kama wewe msiejielewa [emoji23][emoji1787][emoji2960]Wewe ndiyo muongo hujawahi kujiamini kwa kukariri kile ulicholishwa huko vijiweni vibarazani kwenye mikusanyiko ya kuambukizana ili mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Mimi katiks maisha yangu sijawahi kuona MATAGA asiye tumia ak.. ili kama Bia yetu. Ni kama mtumwa anaye takiwa kuimba na kusifu bila kupumzika.Lol aibu.Mbowe amejivua nguo leo
Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika
Huyu Mbowe bure kabisa
Eti akilihutubia taifa...duh
Akizungumza na taifa Leo hii, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema na kiongozi wa upinzani bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe amemfafanua vizuri Spika wa Bunge kuwa ni MTU wa aina gani.
Akizungumza kwa upole mkubwa, unyenyekevu na weledi wa hali ya juu ameeleza vituko na udhalilishaji ufanywao na Ndugai kama vile gubu la ukewenza.
Hakika Mbowe utulivu usio na chuki umewashangaza wengi kwani utadhani hakuna jambo baya hata moja kesha wahi kutendewa yeye na chama chake.
Tupende tukatae, Mbowe ni kiongozi. Tena kiongozi adimu kupata kutokea katika zama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama jiwe alisema vipimo ni feki nani angepimwa?Bado namtafakari anayeiongoza hii nchi. Hivi hizi aibu tunazificha wapi lakini? Anakejeli vipimo waavyofanyiwa madereva kwa kusema wanaendesha magari maelfu ya Kilometa, mbona hawaanguki kwenye usukani! Kabisa, Rais wa nchi? Kwamba hajui kuhusu contamination njiani? Tulipatikana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimeshangaa sana, pamoja na miongozo ya afya duniani note kusisitiza watu wajikinge kwa kuvaa barakoa Rais wa nchi anawasifu watu wake kwa kutokuvaa barakoa kanisani! Halafu kuna watu wanaakili zao wanaunga mkono kauli hiyo!Corona ipo sana lakini CCM hawataki watanzania wavae mask wanataka watanzania wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wabanane waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
Hakika Chama cha mapinduzi kimefaulu kuwekeza katika ujinga.Minyoo ya toilet mbowe Ni muongo muongo Ni msanii muhuni tu anawapata misukule na minyoo Kama wewe msiejielewa [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu samahani utanisamehe kwa mfano huu.Mimi katiks maisha yangu sijawahi kuona MATAGA asiye tumia ak.. ili kama Bia yetu. Ni kama mtumwa anaye takiwa kuimba na kusifu bila kupumzika.Lol aibu.
Hivi yeye Rais anaujua vizuri ugonjwa wa corona unavyoambukiza?Bado namtafakari anayeiongoza hii nchi. Hivi hizi aibu tunazificha wapi lakini? Anakejeli vipimo waavyofanyiwa madereva kwa kusema wanaendesha magari maelfu ya Kilometa, mbona hawaanguki kwenye usukani! Kabisa, Rais wa nchi? Kwamba hajui kuhusu contamination njiani? Tulipatikana!
Sent using Jamii Forums mobile app