Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Narudia mara kwa mara, tunapenda kusikia takwimu za maambukizi na vifo kutokana na COVID-19 kutoka Serikalini, lakini humu JF, kama wewe, husemi idadi ya walioambukizwa au vifo nyumbani kwako, jirani, mtaani, rafiki au ndugu zako? Hayo maambukizi na vifo viko wapi?
Wewe umeshakariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata ukipewa ushahidi wa wazi utakataa bora uendelee kuishi hivyo hivyo
 
Ww na mtoa hotuba mnatakiwa mkaanze kazi pale Kimboka by Night ya u Disco Jocker, maana akili zenu zinafanana.
Aliyekuambia wewe una Akili ni nani ?wewe mwenyewe mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua chochote? huna kigezo cha kukosoa chochote wewe kwa ujinga wako unaona DJ ni tusi?
 
ninawafahamu madaktari 5 walioambukizwa corona kutokana na vifaa duni wanavyotumia wanapowahudumia wagonjwa wa corona , wawili wako kwenye oxygen hivi ninavyoandika hapa
Corona ipo sana lakini CCM hawataki watanzania wavae mask wanataka watanzania wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wabanane waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
 
Ukiwa muhuni huwezi kukosa sifa ya upumbavu hizi sifa mbili uhuni+upumbavu unazaa ujinga ukishakuwa mjinga hapo ndio unapokuwa unafanya Mambo/vitu/vya kijinga na hii ndio sifa ya mbowe kwahiyo naweza kumvumilia muhuni/mpumbavu ambae Ni mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe ni mbumbumbu kilaza juha hujitambui unawezaje kujua mhuni? Tokea lini kinyamkela asiyejielewa akakosoa chochote? Jikosoe mwenyewe nenda katoe ujinga uliokujaa
 
Mbowe ni mwongo, sijawahi kumwamini hata siku moja. Anatafuta public sympathy baada ya kuharibu kwa kuwafukuza wabunge wake kwenye chama, akashambuliwa na jamii!
Wewe ndiyo muongo hujawahi kujiamini kwa kukariri kile ulicholishwa huko vijiweni vibarazani kwenye mikusanyiko ya kuambukizana ili mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
 
Wewe umeshakariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hata ukipewa ushahidi wa wazi utakataa bora uendelee kuishi hivyo hivyo
Ni minyoo kweli kama ID yako! Hamkubali takwimu za Serikali wakati huo huo hutaki kutoa takwimu zako zenye ushahidi, waficha za nini? Kwani vifo vinaweza kufichwa? Marehemu huwa ana ndugu, marafiki, jirani na hata washirika wenzake.
 
Kinachokutofautisha wewe na Magufuli ni Misimamo haijalishi sahihi au sio sahihi ... kiongozi lazima uwe na msimamo wewe bado muoga sana
 
Wewe ndiyo muongo hujawahi kujiamini kwa kukariri kile ulicholishwa huko vijiweni vibarazani kwenye mikusanyiko ya kuambukizana ili mpate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu
Minyoo ya toilet mbowe Ni muongo muongo Ni msanii muhuni tu anawapata misukule na minyoo Kama wewe msiejielewa [emoji23][emoji1787][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe amejivua nguo leo

Watu Tunakaribia kuishinda corona yeye analeta habari za classmates na spika

Huyu Mbowe bure kabisa
Mimi katiks maisha yangu sijawahi kuona MATAGA asiye tumia ak.. ili kama Bia yetu. Ni kama mtumwa anaye takiwa kuimba na kusifu bila kupumzika.Lol aibu.
 
Akizungumza na taifa Leo hii, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema na kiongozi wa upinzani bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe amemfafanua vizuri Spika wa Bunge kuwa ni MTU wa aina gani.
Akizungumza kwa upole mkubwa, unyenyekevu na weledi wa hali ya juu ameeleza vituko na udhalilishaji ufanywao na Ndugai kama vile gubu la ukewenza.
Hakika Mbowe utulivu usio na chuki umewashangaza wengi kwani utadhani hakuna jambo baya hata moja kesha wahi kutendewa yeye na chama chake.
Tupende tukatae, Mbowe ni kiongozi. Tena kiongozi adimu kupata kutokea katika zama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti akilihutubia taifa...duh
 
Bado namtafakari anayeiongoza hii nchi. Hivi hizi aibu tunazificha wapi lakini? Anakejeli vipimo waavyofanyiwa madereva kwa kusema wanaendesha magari maelfu ya Kilometa, mbona hawaanguki kwenye usukani! Kabisa, Rais wa nchi? Kwamba hajui kuhusu contamination njiani? Tulipatikana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama jiwe alisema vipimo ni feki nani angepimwa?
Na wamepungua tangu waanze kutokutangaza. Hivi hizi ni akili.
Mazuzu yanashangilia bila kijua ugonjwa umeenea kwa kasi sana.
Hakuna anaekubali kwenda hospital just because maneno ya jiwe kua vipimo ni feki na pia huko hospital hawapati tiba.
Takwimu za wizara wanapata mahosipitalini sasa kama wagonjwa hawaendi inakuwaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ipo sana lakini CCM hawataki watanzania wavae mask wanataka watanzania wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani wabanane waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
Yaani nimeshangaa sana, pamoja na miongozo ya afya duniani note kusisitiza watu wajikinge kwa kuvaa barakoa Rais wa nchi anawasifu watu wake kwa kutokuvaa barakoa kanisani! Halafu kuna watu wanaakili zao wanaunga mkono kauli hiyo!
Kuna tofauti gani na kauli za Kibwetere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minyoo ya toilet mbowe Ni muongo muongo Ni msanii muhuni tu anawapata misukule na minyoo Kama wewe msiejielewa [emoji23][emoji1787][emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Chama cha mapinduzi kimefaulu kuwekeza katika ujinga.
Anyway, kama mtu unatengwa na kudharauliwa na majirani zako na bado hujitambui basi hakuna jinsi Ila kusubiri ufe tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi katiks maisha yangu sijawahi kuona MATAGA asiye tumia ak.. ili kama Bia yetu. Ni kama mtumwa anaye takiwa kuimba na kusifu bila kupumzika.Lol aibu.
Mkuu samahani utanisamehe kwa mfano huu.
Huyo Bia yetu ni kama kahaba anayetoa miguno ya raha kumbe hisia zake zilishakufa siku nyingi ila hapo anakimbizia mshiko tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado namtafakari anayeiongoza hii nchi. Hivi hizi aibu tunazificha wapi lakini? Anakejeli vipimo waavyofanyiwa madereva kwa kusema wanaendesha magari maelfu ya Kilometa, mbona hawaanguki kwenye usukani! Kabisa, Rais wa nchi? Kwamba hajui kuhusu contamination njiani? Tulipatikana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yeye Rais anaujua vizuri ugonjwa wa corona unavyoambukiza?

Mbona Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, mama Anna Mgwira, alitangaza kuwa positive, wakati aisema kuwa hasikii dalili zozote za corona?

Anashangaaje kwa dereva wa lori kutest +ve, wakati ameendesha hilo Lori kilometa zaidi ya elfu moja?

Lazima Rais wetu atambue kuwa kuna stages za ugonjwa huu ambazo ni kutest +ve wakati huumwi chochote kama alivyoeleza mama Mgwira na baadaye ndiyo unakuwa hoi hadi kupoteza maisha
 
Hv mataga wanaosemaga mbowe hajasoma hizo story wanapewaga na nani kumbe lijamaa limesoma na spika kabsa Tena best school nimegundua mh Mbowe hapendi makuu
 
Nimesikiliza hyo hotuba ya KUB yapo mengine ni ya msingi na mengine ni utopolo tu, serikali ichukue yale tu yaliyo ya kweli na kupuuza siasa kwenye ugonjwa. Ukweli corona inakuzwa mno kwenye media kuliko uhalisia. Naona wapinzani wanaichukulia kama ajenda ya kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa October, ila ni suala la muda tu majibu watayapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom