Kwa hio siku hizi mnawapangia na vyama vingine vya kisiasa ipi iwe agenda na ipi isiwe agenda sio?Kwa hilo la Covid 19 mheshimiwa Mbowe angekubali tu matokeo kwamba kazidiwa.Upamoja wa wananchi na raisi Magufuli katika hili ni ushahidi tosha kwamba Raia wapo pamoja na raisi wao.
Maadamu yeye mheshimiwa Mbowe alishalizungumza basi na aliache na hata km madhara yatakuwepo huko mbele atakuwa shujaa kwa sababu historia itamlinda.
Kwa yeye kuendelea kulisemea mara kwa mara italeta picha km analibeba hilo kama agenda ya kisiasa.
Mama Mgwira anasema kuna majani aliyatumia sasa hivi akipima anaonekana ni Negative, nadhani haya ni maajabu mengine makuu yanayopatikana awamu hii.Hivi yeye Rais anaujua vizuri ugonjwa wa corona unavyoambukiza?
Mbona Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, mama Anna Mgwira, alitangaza kuwa positive, wakati aisema kuwa hasikii dalili zozote za corona?
Anashangaaje kwa dereva wa lori kutest +ve, wakati ameendesha hilo Lori kilometa zaidi ya elfu moja?
Lazima Rais wetu atambue kuwa kuna stages za ugonjwa huu ambazo ni kutest +ve wakati huumwi chochote kama alivyoeleza mama Mgwira na baadaye ndiyo unakuwa hoi hadi kupoteza maisha
Hebu jaribu kuwafikiria Italy au USA, halafu uje useme hapa kuwa vyombo vya habari ndivyo vinavyokuza kuliko uhalisia.Ukweli corona inakuzwa mno kwenye media kuliko uhalisia. Naona wapinzani wanaichukulia kama ajenda ya kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa October, ila ni suala la muda tu majibu watayapata
Mbowe ni mwongo, sijawahi kumwamini hata siku moja. Anatafuta public sympathy baada ya kuharibu kwa kuwafukuza wabunge wake kwenye chama, akashambuliwa na jamii!
Mama Mgwira anasema kuna majani aliyatumia sasa hivi akipima anaonekana ni Negative, nadhani haya ni maajabu mengine makuu yanayopatikana awamu hii.
Kiongozi maswali mengine hayana majibu.Ametumia VIPIMO GANI kutambua kuwa AMEPONA?
WAZIRI UMMY, UCHUNGUZI WA VIPIMIO UMEKAMILIKA?
Pole kwa kukutana na hawa watu wasiojali uhai wa watu. Corona imeonesha jinsi watanzania wengi walivyo na fikra za kienyeji kuanzia mkuu hadi hawa wafia-jiwe. Tunapaswa kuweka uhai mbele na sio ushabiki wa kisiasa.
Tusichoke tuwaombe waliokaribu waendelee kumpa ushauri, na Wale wenye mawasiliano nae wampe nasaha kwa siri na kwa busara huenda tukachukua mkondo wanaochukua wenzetu na dunia nzima
Wewe mwenzetu endelea na hofu yakoNimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Acha uongo mkuu
Utaangamia were na familiar yako.Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Lakini madai ya huyu mtu yana mantiki, ikiwa maambukizi yanapungua ni kwa kipimo kipi maana hivi vina shaka na viko katika uchunguzi na report bado haijatokaNimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Kweli Kabisa! Kuna siku niliamua kumfuatilia nilishangaa! Kati ya masaa 24 aliondoka JF kwa muda wa only three hours. Alipanda ngazi kutoka kuwa Member hadi kuwa JF expert member kwa muda wa siku mbili tu.Mkuu samahani utanisamehe kwa mfano huu.
Huyo Bia yetu ni kama kahaba anayetoa miguno ya raha kumbe hisia zake zilishakufa siku nyingi ila hapo anakimbizia mshiko tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamii masikini huwa ina visasi sn Mbowe anatoka sehemu ya watu wa vipato vya kati hawana visasi lakini Ndugai anatoka kwa wagogo omba omba(fukara) wana visasi balaa, sijawahi kuona mgogo tajiri hapa Tanzania.
Akizungumza na taifa Leo hii, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema na kiongozi wa upinzani bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe amemfafanua vizuri Spika wa Bunge kuwa ni MTU wa aina gani.
Akizungumza kwa upole mkubwa, unyenyekevu na weledi wa hali ya juu ameeleza vituko na udhalilishaji ufanywao na Ndugai kama vile gubu la ukewenza.
Hakika Mbowe utulivu usio na chuki umewashangaza wengi kwani utadhani hakuna jambo baya hata moja kesha wahi kutendewa yeye na chama chake.
Tupende tukatae, Mbowe ni kiongozi. Tena kiongozi adimu kupata kutokea katika zama hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 12Bln ama ulitaka kuandika 12Mln?Ndugai analipa fadhira za kutibiwa kwa bil 12 kwa fedha za MEKO.