Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Kwa hilo la Covid 19 mheshimiwa Mbowe angekubali tu matokeo kwamba kazidiwa.Upamoja wa wananchi na raisi Magufuli katika hili ni ushahidi tosha kwamba Raia wapo pamoja na raisi wao.

Maadamu yeye mheshimiwa Mbowe alishalizungumza basi na aliache na hata km madhara yatakuwepo huko mbele atakuwa shujaa kwa sababu historia itamlinda.

Kwa yeye kuendelea kulisemea mara kwa mara italeta picha km analibeba hilo kama agenda ya kisiasa.
Kwa hio siku hizi mnawapangia na vyama vingine vya kisiasa ipi iwe agenda na ipi isiwe agenda sio?
 
Hivi yeye Rais anaujua vizuri ugonjwa wa corona unavyoambukiza?

Mbona Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, mama Anna Mgwira, alitangaza kuwa positive, wakati aisema kuwa hasikii dalili zozote za corona?

Anashangaaje kwa dereva wa lori kutest +ve, wakati ameendesha hilo Lori kilometa zaidi ya elfu moja?

Lazima Rais wetu atambue kuwa kuna stages za ugonjwa huu ambazo ni kutest +ve wakati huumwi chochote kama alivyoeleza mama Mgwira na baadaye ndiyo unakuwa hoi hadi kupoteza maisha
Mama Mgwira anasema kuna majani aliyatumia sasa hivi akipima anaonekana ni Negative, nadhani haya ni maajabu mengine makuu yanayopatikana awamu hii.
 
Ukweli corona inakuzwa mno kwenye media kuliko uhalisia. Naona wapinzani wanaichukulia kama ajenda ya kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa October, ila ni suala la muda tu majibu watayapata
Hebu jaribu kuwafikiria Italy au USA, halafu uje useme hapa kuwa vyombo vya habari ndivyo vinavyokuza kuliko uhalisia.

Ungeeleweka vizuri kama ungeeleza sababu zinazofanya sisi (Afrika) isituathiri sana kama inavyofanya kwenye hizo nchi zingine, lakini badala yake kama kawaida yetu, unaleta ngojera zile zile tulizozizoea!
Haziongezi thamani yoyote kwenye mchango juu ya mada hii.
 
Mbowe ni mwongo, sijawahi kumwamini hata siku moja. Anatafuta public sympathy baada ya kuharibu kwa kuwafukuza wabunge wake kwenye chama, akashambuliwa na jamii!

Jamii gani iliyomshambulia?

KUPIGA DEBE NAYO NI KAZI.
 
Mama Mgwira anasema kuna majani aliyatumia sasa hivi akipima anaonekana ni Negative, nadhani haya ni maajabu mengine makuu yanayopatikana awamu hii.

Ametumia VIPIMO GANI kutambua kuwa AMEPONA?

WAZIRI UMMY, UCHUNGUZI WA VIPIMIO UMEKAMILIKA?
 
kwani umezuiwa kuishi mkuu? fanya mambo yako achana na korona haitakusaidia lolote..
Pole kwa kukutana na hawa watu wasiojali uhai wa watu. Corona imeonesha jinsi watanzania wengi walivyo na fikra za kienyeji kuanzia mkuu hadi hawa wafia-jiwe. Tunapaswa kuweka uhai mbele na sio ushabiki wa kisiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusichoke tuwaombe waliokaribu waendelee kumpa ushauri, na Wale wenye mawasiliano nae wampe nasaha kwa siri na kwa busara huenda tukachukua mkondo wanaochukua wenzetu na dunia nzima

Nadhani bila kubeza, hasa mheshimiwa Mbatia na zile SMS zake. Nani ajuaye zaweza mgutua mzee baba na kutuokoa.
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Wewe mwenzetu endelea na hofu yako
 
Mkuu unasomeka vilivyo. Kuangamia ni wazi Ila cha kufahamu ni kuwa hakuna shule, chuo wala ligi inayokwenda kufunguliwa karibuni. Hiyo ni janja ya nyani tu kutupatia kitu cha kuongelea.

Kufungua shule na ligi hakuna tofauti na habari ya uchaguzi mkuu kuwepo. Umemsikia akiuongelea tena uchaguzi mkuu?

Kipimo cha ugonjwa si kwa kuangalia wagonjwa wangapi serikali inaamua kuwashikilia mahospitalini kwa nia ya kuonyesha ugonjwa hamna.

Ugonjwa umepungua kwa jitihada ipi kwa kupiga nyungu? Hao madereva wanaopatikana mipakani na Corona wanasingiziwa?
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Utaangamia were na familiar yako.
 
Hivi wakuu report huwa zinawasaidiaga nini?
maana mi nnachojua ugonjwa upo tujikinge kwa nguvu zote.
mkuu unaroga mchana mchana aisee labda uangamie na kizazi chako , sisi tutapambana na Mungu atatupigania
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Lakini madai ya huyu mtu yana mantiki, ikiwa maambukizi yanapungua ni kwa kipimo kipi maana hivi vina shaka na viko katika uchunguzi na report bado haijatoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani utanisamehe kwa mfano huu.
Huyo Bia yetu ni kama kahaba anayetoa miguno ya raha kumbe hisia zake zilishakufa siku nyingi ila hapo anakimbizia mshiko tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Kabisa! Kuna siku niliamua kumfuatilia nilishangaa! Kati ya masaa 24 aliondoka JF kwa muda wa only three hours. Alipanda ngazi kutoka kuwa Member hadi kuwa JF expert member kwa muda wa siku mbili tu.
 
Akizungumza na taifa Leo hii, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema na kiongozi wa upinzani bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe amemfafanua vizuri Spika wa Bunge kuwa ni MTU wa aina gani.
Akizungumza kwa upole mkubwa, unyenyekevu na weledi wa hali ya juu ameeleza vituko na udhalilishaji ufanywao na Ndugai kama vile gubu la ukewenza.
Hakika Mbowe utulivu usio na chuki umewashangaza wengi kwani utadhani hakuna jambo baya hata moja kesha wahi kutendewa yeye na chama chake.
Tupende tukatae, Mbowe ni kiongozi. Tena kiongozi adimu kupata kutokea katika zama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jamii masikini huwa ina visasi sn Mbowe anatoka sehemu ya watu wa vipato vya kati hawana visasi lakini Ndugai anatoka kwa wagogo omba omba(fukara) wana visasi balaa, sijawahi kuona mgogo tajiri hapa Tanzania.
 
Watetezitv
15 hrs ·
"Silaha ya kwanza ya kupambana na corona ni kutoa Takwimu, bila hivyo itakuwa ni kazi bure. Nikisema takwimu ni idadi ya watu waliopima, waliokutwa na maambukizi, waliopona na waliokufa kutokana na ugonjwa huo" Freeman Mbowe, Mwenyekiti CHADEMA
Image may contain: 1 person, indoor
 
Back
Top Bottom