Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mkuu 12Bln ama ulitaka kuandika 12Mln?

Hizo zitakuwa Bill za nchi gani,labda kama alihamishwa sayari.

Sent using iphone pro max
Milioni 12 si posho yake ya wiki 2 bungeni tu hiyo? ALikaa India miezi mi5 kwa mujibu wa CAG posho to alilamba 500m na ukijumlisha gharama za matibabu,gharama za kutunza familia yake huko india na pia gharama za kulipia floor aliyokuwa amelazwa ikiwa na ofisi yake ndio inafika 12bilions kwa miezi mi5.
 
Hivi Mbowe hana washauri wamshauri kwamba hili la corona raia wamesimama na rais Magu?

Au nyie chadema mambo yenu mnafanyia utafiti wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamesimama na rais kwenye:

-kutumia nyungu
-mitishamba ya madagascar
-kufunga
-waganga wa kienyeji
-malimao

Huu ni utaahira grade one!
 
Tatizo ni uhaba wa taarifa, na tatizo kubwa zaidi ni dhana tunazo zijenga kutokana na taarifa haba.
Kuna mawili: 1) Anapewa taarifa feki 2) Anapewa taarifa halisi ila anasema anachojua!
Za kuambiwa changanya na za kwako!
 
Kwani Magu kaanzisha nini ambacho nchi nyingine zitafuata? Tangu janga hili lianze TZ maisha yanaendelea kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili ya mtoa mada unadhani wanaotoa takwimu wanajifurahisha na ambao hawatoi takwimu kama sisi Tanzania ndiyo tunatibu?
 
Wewe shetani kufaa mwenyewe tuache na Tanzania yetu

Mood futeni hii takataka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili ya mtoa mada unadhani wanaotoa takwimu wanajifurahisha na ambao hawatoi takwimu kama sisi Tanzania ndiyo tunatibu?
Ruhi,naomba ujadili mada badala ya mimi mtoa mada
 
Mkuu kwenye hilo neno "tuko" na Mimi umenijumuisha au ni wewe na familia yako tu?
 
Kama alifuga wasiojulikana nadhani litakuwa linaona limepata cheap labour aitwaye kovid 19
Hao wenzetu probably wanaelewa anachokifanya ,acha tusubirie tuone.Ila mie kwa huyu mtu akili yangu imegoma
 
Wenzio walianza kusema hivyo toka mwezi wa tatu wewe ndio unazinduka leo?

Alafu hivi hamna washauri wa kuwashauri kwamba hii ishu ya corona raia wamesimama na rais Magufuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haitanishangaza, kwani kule Uganda Waumini wa Kibwetele walisimama na Kibwetele, lakini baadaye vyombo vya habari viliripoti kuwa Kibwetele si miungoni mwa wahanga wa moto uliowachoma wafuasi wa Kibwetele.
 
Ndugu yangu mimi nimesoma ud nimemaliza 2006 lecture theatre hua tunajaa kuliko darsa la form one. Nakumbuka wakati mwengine ukichelewa ht kuingia huez.

Pili katika hostel zero distancing is equal to zero. Jamani tuwe na utu na tufikirie wengine pia
Nimemaliza UD 2006...msipenda kutukana Baba zenu humu basi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Inaonekana uko nyuma sana, ligi la ujerumani bundesliga lishafunguliwa kitambo, kuanzia jumamosi watu walikipiga sisi sjui tunasubiri nn
 
Kwa nn isiwezekane wakati sisi hakuna la maana serikali imefanya kulinda raia wake dhidi ya corona... mask watu wanavaa vitambaa mpk lesso na kanga, serikali ilipaswa kuhakikisha upatikanaji wa standard masks.. makanisani na misikitini watu wanajazana kama kawaida, serikalini ilipaswa kuyafunga haya, hakuna kikubwa serikali imefanya kuzuia mikusanyiko kwa hiyo hata michezoni itakuwa bussines as usual usije staajabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…