Dah....basi Kama hujui...Kuna nyumba za kupanga zina misongamano zaidi ya hiyo.....toka Masaki braza...tembetembea uswazi ujifunze[emoji2960]Ndugu yangu mimi nimesoma ud nimemaliza 2006 lecture theatre hua tunajaa kuliko darsa la form one. Nakumbuka wakati mwengine ukichelewa ht kuingia huez.
Pili katika hostel zero distancing is equal to zero. Jamani tuwe na utu na tufikirie wengine pia
Hatutaki upotoshaji wa Mbowe
Mikusanyiko hairusiwi la sivyo ataenda lala selo
Obvious lazima lifestyle Ibadilike kaka kuendana na hali halisi.Kama tu lifestyle ya dunia nzima ilivyochange.Halafu mkuu ni kama katoa kidokezo tu...inaweza tokea au isitokee kulingana na hali ilivyo...I'm sure uamuzi utakaotolewa hautakuwa umemshirikisha Rais pekee bali na jopo lingine kutoka sekta muhimu nchini...Suala nyeti sana hili.Ndugu yangu mimi nimesoma ud nimemaliza 2006 lecture theatre hua tunajaa kuliko darsa la form one. Nakumbuka wakati mwengine ukichelewa ht kuingia huez.
Pili katika hostel zero distancing is equal to zero. Jamani tuwe na utu na tufikirie wengine pia
hapo kariakoo mbona hawaanguki na kufa kama kuku wa mdondo ?ni mwezi wa tatu sasa kariakoo kuna nyomi mwanzo mwisho.manzese.tandika sokoni.manzese njia ya kwenda majoe ni nyomi,Utaratibu gn ndugu saiv kariakoo hata barakoa watu hawavai wanajua corona imeisha lakini wakati huohuo katika mpk wa zambia na holili madereva wengi toka tanzania wanatest +ve huoni kuna kitu hakiko sawa ila kinafanywa kionekane ni normal
mbona unarudia rudia, post ubwabwa hii? halafu inaonekana ni mgeni wa jana!Toka mwezi uliopitia huo ndiyo wimbo kwa hiyo hata hii ndoto yako ni sawa na ya alinacha.Endelea kuota bado giza.
umenibembeleza saana sana ngoja niende youtube nikamsikile anasemaje.Unakosa uhalali wa kukomenti kama hujasikiliza! Kanuni ya Great Thinker ni kusikiliza hoja ili ukosoe kwa hoja! Ili kujitendea haki Wewe na gb zako 50, ungeacha kukomenti!
Unaamini propaganda waitaliano wanawajibisha bungeni kwa kuruhusu marekani kuutangazia ulimwengu uongoKwani suala hili halikugusi ndugu kwa haya yanayoendelea.
Uliwahi kumuona waizir mkuu wa italia akilia hadharani huu ugpnjwa ni hatari siasa haipaswi kuwekwa mbele bali fact,truth na Science
Ni vyuo tuWiki kesho tunaweza kufungua vyuo na shule, wewe unatuleta corona tena wakati INAISHIA! Kila mmoja ataguswa kwa wakati wake
Mbona hujiulizi kwa kifua kikuu?najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
Sio shindwa mtoa mada kahoji vizuri lakini kwa sababu tumejengewe kutokuhoji ni maaana unaishia kusema shindwa big up mtoa maadaShindwaa
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.