Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Mbowe: Rais, wanaopinga ushiriki wa Taifa kwenye vita ya Corona wanawaza uchaguzi na huruma yako ktk uteuzi. Ukweli lawama zote zitakuangukia wewe

Hivi unafikiri Ripoti hiyo utaisoma muda huo huo Rais anapoisoma? Rais anapata taarifa mapema sana hivyo kuhoji Ripoti imetoka au laah ni kukosa maarifa kwenyewe.

Je, uliambiwa upimaji usingefanyika kipindi wanafanya huo uchunguzi?

Raia wa aina yako ndio laana ya nchi hii. Unaambiwa kuna tume inachunguza. Imemaliza kazi yake halafu unakuja kumshutumu mtu anayetaka tu kufahamu mambo yaliyojulikana! Unadhani utawahi kuhoji matumizi ya kodi unayolipa??

Umeambiwa vipimo ni feki. Ripoti ya tume ingeonesha ukweli au uongo wa hilo na tukajua kipi kinaendelea baada ya hapo. Toka tangazo la vipimo feki hata takwimu hakuna kwa sababu maabara ilifungwa kwa maelezo ya Ummy kuwa inafanyiwa ukarabati na wakati huo huo uchunguzi. Kweli kuhoji hili nalo ni jambo baya??

Raia wa hovyo sana wewe!!
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.

Acha mawazo ya kishetani kaka.! Kwanini unawazia mabaya tu katika kila analolifanya Rais ? Kuna muda nilikuwa mfuatiliajibwa Taarifa za Kigogo ila baadae nikawa napatwa na wasiwasi juu ya idadi anayoitaja. Anyway, maisha lazima yaendelee. Unataka watu wafanye nini ? WHO wameshasa ni muhimu dunia ikaanza kujifunza kuishi na huu ugonjwa kama ambavyo leo hii tunaishi na magonjwa kama Influenza na UKIMWI.
Naunga mkono hoja ya Mhe. JPM. Na wakifungua vyuo mie nitakuwa wa kwanza kumshihi mdogo wangu awahi shule akasome na maisha yaendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.

Mkuu

The issue ni kwamba,tuliempa dhamana kashindwa kazi,anachofanya ni kukimbia of which haisaidii chochote!

Vifo ndio vinatuumbua hapa

Akili kwa huyu mtu ni msamiati!
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Hata ukipima kama hauna dawa ya kutibu wanaopatikana positive then what?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Obvious lazima lifestyle Ibadilike kaka kuendana na hali halisi.Kama tu lifestyle ya dunia nzima ilivyochange.Halafu mkuu ni kama katoa kidokezo tu...inaweza tokea au isitokee kulingana na hali ilivyo...I'm sure uamuzi utakaotolewa hautakuwa umemshirikisha Rais pekee bali na jopo lingine kutoka sekta muhimu nchini...Suala nyeti sana hili.
Magufuli alianza lini kupokea ushauri wa washauri wake?
Jamaa haambiliki ni sikio ka kufa !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ni mwongo, sijawahi kumwamini hata siku moja. Anatafuta public sympathy baada ya kuharibu kwa kuwafukuza wabunge wake kwenye chama, akashambuliwa na jamii!
Wewe unaamini watu?? Endelea kumwamini jiwe ili upate unachostahili karibuni."Tumetishana saana na ni kaugonjwa kadogo tu.Hakuna lokodauni" huku mwanae na yeye wamejichimbia mbugani!
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Hacha uoga wewe, kama kufa tutakufa tuuuuu. Wewe unaogopa vitu vidogo unaweza ukaendesha gari speed 120/180. Kama unaogopa jifungie na family yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akizungumza na taifa Leo hii, Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema na kiongozi wa upinzani bungeni Mheshimiwa Freeman Mbowe amemfafanua vizuri Spika wa Bunge kuwa ni MTU wa aina gani.
Akizungumza kwa upole mkubwa, unyenyekevu na weledi wa hali ya juu ameeleza vituko na udhalilishaji ufanywao na Ndugai kama vile gubu la ukewenza.
Hakika Mbowe utulivu usio na chuki umewashangaza wengi kwani utadhani hakuna jambo baya hata moja kesha wahi kutendewa yeye na chama chake.
Tupende tukatae, Mbowe ni kiongozi. Tena kiongozi adimu kupata kutokea katika zama hizi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndugai analipa fadhira za kutibiwa kwa bil 12 kwa fedha za MEKO.
 
Bado namtafakari anayeiongoza hii nchi. Hivi hizi aibu tunazificha wapi lakini? Anakejeli vipimo waavyofanyiwa madereva kwa kusema wanaendesha magari maelfu ya Kilometa, mbona hawaanguki kwenye usukani! Kabisa, Rais wa nchi? Kwamba hajui kuhusu contamination njiani? Tulipatikana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ya Tanzania inatiwa aibu
 
Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.

Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.

nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.

tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?

Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?

na wakaanza kupima tena lini?

najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.

salaam.
Mawazo ya kipumbavu! Je kupima au vipimo ndiyo vinaondoa corona?
 
Back
Top Bottom